Badala ya kutafta hela wana tafta sifa ya kujaza uwanja, weka kiingilio elfu 10 ukipata watu 50K inatosha kuliko kujaza uwanja kwa hasaraAisee uwanja utajaa mno wawe makini uwanja utajaa sana
Brother show za Percy Tau na Aliou dieng nani asiyetaka kuziona
Watapata hela nyingi zaidi kwa kuweka kiingilio rafikiBadala ya kutafta hela wana tafta sifa ya kujaza uwanja, weka kiingilio elfu 10 ukipata watu 50K inatosha kuliko kujaza uwanja kwa hasara
SongeaMaeneo gani mkuu!?
Na ipige soka safi biriani [emoji2][emoji1][emoji16]Hapo hapo wanataka timu isajili Top players.