Viingilio Mechi ya Simba vimeonesha mnawajali mashabiki na hamna tamaa

Viingilio Mechi ya Simba vimeonesha mnawajali mashabiki na hamna tamaa

Aisee uwanja utajaa mno wawe makini uwanja utajaa sana
Brother show za Percy Tau na Aliou dieng nani asiyetaka kuziona
Badala ya kutafta hela wana tafta sifa ya kujaza uwanja, weka kiingilio elfu 10 ukipata watu 50K inatosha kuliko kujaza uwanja kwa hasara
 
Badala ya kutafta hela wana tafta sifa ya kujaza uwanja, weka kiingilio elfu 10 ukipata watu 50K inatosha kuliko kujaza uwanja kwa hasara
Watapata hela nyingi zaidi kwa kuweka kiingilio rafiki
Kumbuka watu Wana option ya kuangalia Azam tv
Ili kuwaleta watu uwanjani lazima ulegeze kidogo
 
Back
Top Bottom