Viingilio vya mechi ya kwanza vilirudishwa?

Viingilio vya mechi ya kwanza vilirudishwa?

GAZETI

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
5,286
Reaction score
6,736
Sasa itakuwaje kwa wale waliokata tiketi mechi ya kwanza? Zile pesa zilipelekwa wapi?
 
Mmepigwa

Halafu kiingilio ni elf 11 wakati walisema elf 7

Hii nchi upigaji hautakaa uishe
 
Zile pesa wamelipana posho kwenye vikao vya kujadili miongozo ya namna ya kuzitumia hizo pesa...
 
Back
Top Bottom