Ngengemkenilomolomo
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 270
- 450
haha umenifanya nijikumbushie lile lile pambano lao you tube, kwa mara ya kwanza nilianza kumjua Mayweather kupitia ile. Kwakweli yale majitu ya mieleka sio ya kujaribu kupigana nayo unaweza kufa, kilichomsaidia Mayweather ni kiti tu, ila hata hivyo alijitahidi kupigana naye pamoja na udogo wake
Kama unafatiliaga uwe unamuangalia watu kama daniel bryan,randy orton&roman reigns hakika hao raia watakufanya upende kuangalia mieleka