Viingilio vya Pambano kati ya Floyd Mayweather na Manny Pacquiao vyatangazwa

Kama unafatiliaga uwe unamuangalia watu kama daniel bryan,randy orton&roman reigns hakika hao raia watakufanya upende kuangalia mieleka
 
Myweather namkubal sana toka cku ile alivompunch big show akazimia kwny mieleka
Pole kwa kutekwa na lile igizo.
Believe me or not, pamoja na kuwepo kwa uhalisia, kwny mieleka kuna matukio mengi ya kuugiza.
 
yale yote yalishapangwa mkuu ingawa jamaa alikula hela ndefu sana kutoka kwa vince mcmahon $20 million dollars
 
yale yote yalishapangwa mkuu ingawa jamaa alikula hela ndefu sana kutoka kwa vince mcmahon $20 million dollars

ni kweli nasikia mieleka inakuwa scripted
 
Kama unafatiliaga uwe unamuangalia watu kama daniel bryan,randy orton&roman reigns hakika hao raia watakufanya upende kuangalia mieleka

Wote hao nawapata, Randy Orton gaidi sana na rko yake
 
Mim lazma ningie kwa hicho cha bei gani kuliko vyote hapo $150 ndiyo cha saize yangu!

Mkuu ukilipa $150 unapewa na darubini kabisa ya kutazamia maana mnakaa mbaaali sana na jukwaa. Yaani ni afadhali mtu aliyeko home anaona vizuri.
 
Wote hao nawapata, Randy Orton gaidi sana na rko yake

Cku hiz co gaid kama alivokua na kina seth rollins,sa hivi yuko peke ake na jpil anapigana na huyo seth wanapgania mkanda alonao seth ila tatzo lipo moja rko imezuiliwa yan akiitumia kwenye hilo pambano atakua amecheza foul,seth anamuogopa sana randy ndo maana ameizuia ila na randy amesema kwakua wamemzuia kuitumia rko na ili seth asisaidiwe na kane na wale body guards wake watapigana kwenye cage
 
Seth hana ubavu wa kumpiga Randy hata wakizuia rko, labda wafanye magumashi yao tu. Jamaa ana roho mbaya sana, akianzaga kupiga hachagui pakupiga, kuna kipindi alimpigaga John Cena hadi nikahisi anaua
 
John Cena amenza kuisha kabisa!
 
$200,000 kibongo bongo nyumba kama ngapi hivi?
 
Kama unafatiliaga uwe unamuangalia watu kama daniel bryan,randy orton&roman reigns hakika hao raia watakufanya upende kuangalia mieleka

Yes yes yes(daniel bryan) na roman reigns,(I will,I can) hawa jamaa nawapenda sana. Hivi roman reigns na brock resner ni lin watapigana kugombea mkanda wa wwe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…