Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
Hadi wakifungia tiktok gen z wetu wako bize kukata viuno huko.na sisi je?
Nyie mnaandamana nyuma ya keyboard tuna sisi je?
Sema sisi wewe ukiwamo pamoja na mke wako.Nyie mnaandamana nyuma ya keyboard tu
Mtandao umefungwa mkuu huelewi au??😂Imeripotiwa watu kadhaa wameuawa kwenye maandamano hayo takirabaniwa watu wameaga dunia na wengine 347 wakiachwa majeruhi
Waziri mkuu amejiuzulu ila bado waandamanaji wanaliamusha
Ifike phala watz tujifunze tuweke uoga kando hili swala la kufungiwa jf bila sababu za kueleweka ilitakiwa jamii tupinge kwa nguvu zote.