Vijana 260 Wapelekwa Israel Kujifunza Teknolojia ya Kilimo Cha Kisasa

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Baada ya mafunzo watarudi Tanzania kueneza ujuzi huo Kwa wenzao Kwa Kuanzisha mashamba darasa.

=====

DAR ES SALAAM
SERIKALI ya Tanzania kwa kushirikiana na Israel wameendelea na jitihada za kukuza ujuzi kwa vijana kwenye sekta ya kilimo, ambapo takribani vijana 260 wanapelekwa nchini Israel kupata mafunzo ya kilimo.

Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, wakati wa hafla ya kuwaaga vijana wanaotarajiwa kwenda nchini Israel kuhudhuria mafunzo ya kilimo cha kisasa, Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu), Profesa Jamal Katundu amesema vijana hao watakuwa na mafunzo ya darasani lakini pia mafunzo kwa vitendo.

Amesema fursa hiyo imepatikana kutokana na jitihada za Rais Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu wa Israel ambao wamekuwa wakizungumzia suala hilo kwa ajili ya kujenga uwezo wa vijana kwenye sekta ya kilimo

Prof. Katundu amewasihi vijana hao kuitumia elimu wanayoipata nchini humo, ili waweze kujikwamua kiuchumi na kuwa chachu katika jamii na Taifa kwa ujumla.

Imeandaliwa na Lovin Keffa-Habari Leo

=====

My Take
Bado Rais Samia anaendelea Kuonesha dira na njia ya Vijana kupita.

Vijana msipotoka awamu hii ya Rais Samia kwenye Kilimo hamtatoboa tena.
 
View: https://www.instagram.com/p/Cwc8BjqAM6g/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==

My Take
Bado Rais Samia anaendelea Kuonesha dira na njia ya Vijana kupita.

Vijana msipotoka awamu hii ya Rais Samia kwenye Kilimo hamtatoboa tena.

Yani wakirudi kilimo chetu kitakuwa na mibaraka tele.

Kikwajuni One adriz Mufti kuku The Infinity Accumen Mo Adiosamigo STRUGGLE MAN Bwana Utam The Boss na mama lao FaizaFoxy
 
Hawa vijana wana bahati sana, kuna vijana wasomi hawajawahi kufika hata kenya wapo humu humu tangu wahitimu. Tuliona kilimo ni ushamba na kazi ya msoto isiyo na tija. Imebidi niende kijijini kutafuta mashamba hata ya kukodi nilime mwaka huu, siwezi kushindwa na vijana wadogo kwa hili. Naenda kijijini kuwekeza kwenye kilimo vijana hao wamenihamasisha
 
Si ndivyo mlidanganhwa.kwamba ukisoma ndio Kila kitu sijui ufunguo wa Maisha na blaa blaa zingine 🤪🤪
 
Baada ya mafunzo watarudi Tanzania kueneza ujuzi huo Kwa wenzao Kwa Kuanzisha mashamba darasa.

=====

DAR ES SALAAM
SERIKALI ya Tanzania kwa kushirikiana na Israel wameendelea na jitihada za kukuza ujuzi kwa vijana kwenye sekta ya kilimo, ambapo takribani vijana 260 wanapelekwa nchini Israel kupata mafunzo ya kilimo.

Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, wakati wa hafla ya kuwaaga vijana wanaotarajiwa kwenda nchini Israel kuhudhuria mafunzo ya kilimo cha kisasa, Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu), Profesa Jamal Katundu amesema vijana hao watakuwa na mafunzo ya darasani lakini pia mafunzo kwa vitendo.

Amesema fursa hiyo imepatikana kutokana na jitihada za Rais Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu wa Israel ambao wamekuwa wakizungumzia suala hilo kwa ajili ya kujenga uwezo wa vijana kwenye sekta ya kilimo

Prof. Katundu amewasihi vijana hao kuitumia elimu wanayoipata nchini humo, ili waweze kujikwamua kiuchumi na kuwa chachu katika jamii na Taifa kwa ujumla.

Imeandaliwa na Lovin Keffa-Habari Leo

=====

My Take
Bado Rais Samia anaendelea Kuonesha dira na njia ya Vijana kupita.

Vijana msipotoka awamu hii ya Rais Samia kwenye Kilimo hamtatoboa tena.
Wakimaliza coz yao lazma pandikizi la MOSAD liwepo hapo .
 
Wakulima
Hivi hii identity bado ni viable pale Eagle wings?🤣
 
Tumelipigia kelele sana hili na kusema tuache kuomba omba badala yake tuombe ujuzi
Bora at last wamelisikia
Haya wengine wapelekwe Cuba, Malaysia, China na sehemu zingine

Polepole aombe nae huko najua watz huwa wanajifanya kuwa na kibri yaani masikini jeuri lakini ni lazima kuingiliana na hata kuwakaribisha mabalozi wengine katika apartment za ubalozi ili kujuana na kusaidiana

Mabalozi waache kulala na badala yake waombe vijana wapate taaluma ili kusaidia Taifa letu
 
Back
Top Bottom