Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Kuna ka upepo ka Ulimbukeni ambako kanaendelea kuwapitia hawa watoto wa kike.
Kwasababu tu yupo TikTok, IG ana followers wengi n.k, tayari hujiona kichwani kwake anahitajika kuliko chochote, na hili ndio kosa kubwa.
Waschana wa aina hii, suala la Ndoa halipo kichwan kwake, na ukimuona kubali Kuliaa machozi na makamasi, kwanini?
Kwa sababu, Mitandao ya Kijamii huleta utumwa mkubwa wa kiakili na kihisia, atahitaji awapostie wafuasi wake akiwa analamba lips, anabinua tako, anageuza geuza jicho , anacheza n.k mambo hayo Ndani ya Ndoa ni Marufuku. Tayari atajiona humpi Uhuru Tatizo.
Kama hiyo haitoshi, Wanawake wa mitandaoni akili zao zimebebwa na Hawa Mashangazi walojichokea ambao kwao hawana wlaichobakisha. Utasikia alojichokea anadai "Mimi siwezi kumpikia mwanaume ".
Duuhh unachekaa hii!
Kila siku nawaambia, kwenye Kuoa, Oa mwanamke anayeonekana mshamba, mwanamke ambaye unaona kabisa Yuko IG kutangaza Biashara yake ya Vitenge, mwanamke ambaye yuko TikTok anamtunguza Mungu, Mwanamke ambaye atatambua kua we ndio mwanaume mwenye Mamlaka, Nguvu na utawala juu yake, Mwanamke anayempenda Mungu Kwa Moyo, akili na nguvu zake zote.