Vijana acheni kutongoza mkiwa na Ashki

Vijana acheni kutongoza mkiwa na Ashki

Dumuzii

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2019
Posts
3,593
Reaction score
8,595
Hii tabia ya kuwatokea mademu mkiwa na ugwadu ndio inawafanya mchezee mitama ya shingo

Kwa sababu mnakosa ujasiri, mnakosa subra kwa sababu unakua driven na ugwadu.

Ukiwa na ugwadu unakua desperate sana na ndio maana mnapigwa mizinga ya ajabu ajabu na kuwekewe condition za ajabuajabu ili mpewe mbususu.

Hata Silaha hutengenezwa msimu wa aman ili zijezitumike msimu wa vita.

So jifunzeni kutongoza mkiwa hamna nyege, ilimjipatie vimwana makao.

Na hapo ndipo wanawake wanapo chukulia point tatu za kuwaendeshea....na mtaendeshwa kama matololi na hao madem zenu
 
Hii tabia ya kuwatokea mademu mkiwa na ugwadu ndio inawafanya mchezee mitama ya shingo

Kwa sababu mnakosa ujasiri, mnakosa subra kwa sababu unakua driven na nyege.

Ukiwa na nyege unakua desperate sana na ndio maana mnapigwa mizinga ya ajabu ajabu na kuwekewe condition za ajabuajabu ili mpewe mbususu.

Hata Silaha hutengenezwa msimu wa aman ili zijezitumike msimu wa vita.

So jifunzeni kutongoza mkiwa hamna nyege, ilimjipatie vimwana makao.
Nyege ni mbaya sana...Ngono ni uraibu
 
Zikizidi mbaya sana unakama kuku na hujali [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom