Vijana: Akikupa pesa mpe na wewe, akikupa penzi mpe penzi. Peaneni sio wewe ndio uwe tuu unampa

Vijana: Akikupa pesa mpe na wewe, akikupa penzi mpe penzi. Peaneni sio wewe ndio uwe tuu unampa

Elewa,
Mwanamke hawezi kutoa kwa mwanaume asiyempenda.
Mwanamke hutoa kwa yule wa thamani

Na Mwanamke húumizwa na kuumia kupoteza mwanaume wa thamani.

Ukiona mwanamke anaumia wakati hajawahi kuwa mtoaji kwa huyo mwanaume ujue ana fake
Niseme ukwel, nina miaka mingi hata nimeshasahau suala la kununua vitu vidogo vidogo kama nguo, kitu pekee yf hajawezaga kuninunulia ni kiatu tu, hapo ali feli kulingana na life style yetu
 
Niseme ukwel, nina miaka mingi hata nimeshasahau suala la kununua vitu vidogo vidogo kama nguo, kitu pekee yf hajawezaga kuninunulia ni kiatu tu, hapo ali feli kulingana na life style yetu

Ukipata mke mzuri jitahidi shetani asikupoteze nje ya mfumo kupitia vijianamke vya nje
 
We unampa pesa binti kimoso wakati unafugwa? Pesa utatoa wapi za kumpa binti kimoso ilihali vitabu vyako vya hadithi za uongo haviuziki?

Bro, umariooo ni mbaya. Fanya kazi, lima hata mchicha bro kuliko kufugwa na mwanamke.
 
Nasisitiza wanawake waliowengi ni wabinafsi they have nothing to provide for us rather than sex and UTI so jifunze kutuliza shobo kwa wadada na sometimes jifunze kusema No , akikuomba ela sema no , hyo 20k au 30k unayompa ukiiweka UTT au ukanunua cement utafika mbali, sex is not food kusema ukiikosa utakufa , imagine unamtoa demu out unamnunulia pombe , unamnunulia chakula , unalipa room not less than 30k unamaliza unampa pesa ya nauli , yeye hana chochote anachotoa kwako as a material thing wakati Mama yako mzazi hana pesa hata ya Sukari kijijini alafu unajiona mzima. If is that a case bora ukaenda kununua tu kama umezidiwa unatoa 10k unakula kimoko biashara inaishia hapo
 
Back
Top Bottom