PreGE2025 Vijana CCM waitisha press kumjibu Gwajima, wataka avuliwe uanachama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wale sio vijana ni ma mbu mbu mbu!, kama kijana wa Leo haoni michango na ushauri kwenye hotuba ya Gwajima huyo si kijana ni tahila. Yule ni mbeba maono ya Mungu juu ya taifa lake, unataka afanye kazi kukufurahisha haitawezekana....kunywa malimao tu
 
Hivi ndio vijinga alivyo kuwa anasema Gwajima
Ama kweli, akili kubwa na ndogo ni shida. Ujanja ni huu, akili ndogo zungumza na akili ndogo, na akili kubwa zungumza na akili kubwa. Tatizo kubwa hasa nchi za dunia ya tatu unakuata " akili ndogo inaongoza akili kubwa"
 
Wale sio vijana ni ma mbu mbu mbu!, kama kijana wa Leo haoni michango na ushauri kwenye hotuba ya Gwajima huyo si kijana ni tahila. Yule ni mbeba maono ya Mungu juu ya taifa lake, unataka afanye kazi kukufurahisha haitawezekana....kunywa malimao tu
Kabisa ni lituyuyu paka mapepe,
 
Kama ni kweli hawa vijana wa ccm ninavyowajua wanakwenda kuharibu zaidi.
Sio vijana wakujenga hoja na wala sio wenye weledi wa hoja na sana sana watakwenda kutibua "yaliyositirika"
Kwanini hatujikiti kutafuta chanzo cha tattizo lililopo la utekaji, utesaji na uuaji wa wenzetu na tiba yake na badala yake tunakimbilia kupinga hoja zenye mashiko kwa kutoa majibu "cheap" yanayoumiza zaidi Wananchi wengi?
 
hakuna vijana hapo hawa ni mgambo wanaojuwa kusoma na kuandika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…