Vijana gomeni kwenda JKT haina tija kwa Taifa.

Hawa vijana waliopitia JKT wataisaidia sana Chadema 2015 kulinda kura. Hawatakuwa na woga dhidi ya mabomu ya machozi ya mapolisisiem. Ni hazina kubwa na vijana twendeni JKT kwa wingi
 
Serikali itenge muda wa kuwapeleka huko sio kutumia muda ambao vijana wangesoma kwa ajili ya mafunzo ya jkt namaanisha chuo kwenda mwezi wa kwanza baadala ya oct kwa ajili ya vijana kwenda jkt sikubaliani nalo.
 
Naomba wahitimu wote wa kidato cha sita ambao hamjaenda jkt mkatae kwenda huko maana hili halina tija kwa taifa zaidi ya kwenda kutesana na kuumizana huko halafu kwanza nchi yoyote ile kipaumbele huwa elimu na sio majeshi, 2015 ikumbukeni chadema.

Kweli elimu kwanza mengine baadae
 
Tatizo lako unaifanya kaz ya kichw kwa kutumia viungo vingine kv ma------ na visigino!so what? politics should 2 be in its arena!
 
Ina faida gani? yaani vijana waache kusoma wapelekwe jkt ili iweje,kama ni suala la uzalendo linatoka ndani ya moyo wa mtu na si jkt elimu kwanza jkt baadae.
Mkuuu inawezekana uko sawa ila ki-ukweli ukipitia huku jkt unakuwa na moyo wa kuipenda nchi kupita kiasi hebu jiulize inakuwaje mtu akiwa na akili yake timamu anakubali kwenda vitani huku akijua kuwa kuna mawili kufa au kupona.Kwa mie naona kuna haja ya vijana kupitia jkt ili kupunguza watoboa pua,wapaka poda n.k
 
Naomba wahitimu wote wa kidato cha sita ambao hamjaenda jkt mkatae kwenda huko maana hili halina tija kwa taifa zaidi ya kwenda kutesana na kuumizana huko halafu kwanza nchi yoyote ile kipaumbele huwa elimu na sio majeshi, 2015 ikumbukeni chadema.
Mkuuuu goma uone kitakacho kukuta
 
Ina faida gani? yaani vijana waache kusoma wapelekwe jkt ili iweje,kama ni suala la uzalendo linatoka ndani ya moyo wa mtu na si jkt elimu kwanza jkt baadae.

Kwani nani ameacha kusoma kisa jkt...kapumzike mzee naona una swaumu kali...lakini kwanini usijipange upya alaf uje na uzi mpya
 
Hivi wewe molembe una undugu na yule mbwiga88???....hahahaaaaa au ni mtu mmoja unamiliki account mbili mbona pumba tupuuu??
 
daaaahh cjui na wa kwangu atagegedwa bora wasichana wasiende huko jkt yao:
 
Unaonekana unamatatizo katika kufikiri jkt ina maslahi sana kwa vijana wetu hususani kujenga uzalendo unaoelekea kupotea siku za usoni ..goma wewe na ndugu zako ili uwe wa mfano
 
jkt hakuna uzalendo kule ni kwaajil ya kuwa mkakamavu na kuimba nyimbo za ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…