Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba wahitimu wote wa kidato cha sita ambao hamjaenda jkt mkatae kwenda huko maana hili halina tija kwa taifa zaidi ya kwenda kutesana na kuumizana huko halafu kwanza nchi yoyote ile kipaumbele huwa elimu na sio majeshi, 2015 ikumbukeni chadema.
sa chadema inahusiana nini na jkt
Mkuuu inawezekana uko sawa ila ki-ukweli ukipitia huku jkt unakuwa na moyo wa kuipenda nchi kupita kiasi hebu jiulize inakuwaje mtu akiwa na akili yake timamu anakubali kwenda vitani huku akijua kuwa kuna mawili kufa au kupona.Kwa mie naona kuna haja ya vijana kupitia jkt ili kupunguza watoboa pua,wapaka poda n.kIna faida gani? yaani vijana waache kusoma wapelekwe jkt ili iweje,kama ni suala la uzalendo linatoka ndani ya moyo wa mtu na si jkt elimu kwanza jkt baadae.
Mkuuuu goma uone kitakacho kukutaNaomba wahitimu wote wa kidato cha sita ambao hamjaenda jkt mkatae kwenda huko maana hili halina tija kwa taifa zaidi ya kwenda kutesana na kuumizana huko halafu kwanza nchi yoyote ile kipaumbele huwa elimu na sio majeshi, 2015 ikumbukeni chadema.
Ina faida gani? yaani vijana waache kusoma wapelekwe jkt ili iweje,kama ni suala la uzalendo linatoka ndani ya moyo wa mtu na si jkt elimu kwanza jkt baadae.