Vijana graduates hawana ajira za kueleweka wenyewe wapo kimya

strongest

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2024
Posts
343
Reaction score
1,562
Vijana graduates pazeni sauti muajiriwe mnakaa kimya serikali inajisahau na nyie mnasahaulika

Imefika point kwa mwaka serikali ina ajiri wastani wa vijana 10,000 tu .

Graduates wengi wana jishughulisha na udalali,uwakala na kazi zenye vipato duni kimya kimya.

Binafsi naumia kuona vijana wana umri wa kua na familia hawana ajira ,hawana hela yani wapo wapo tu .
 
Bora kuliko kuto fanya chochote.. Watapata ujuzi wa mengi na wengi wataweza kujiongeza. Kuendelea kutafuta kazi au kujiajiri..

Naweza mpatia kazi anaye fanya hayo kuliko ambaye amejaa anasubiria kuajiriwa tu.
 
Vijana graduates pazeni sauti muajiriwe mnakaa kimya serikali inajisahau na nyie mnasahaulika

Imefika point kwa mwaka serikali ina ajiri wastani wa vijana 10,000 tu .

Graduates wengi wana jishughulisha na udalali,uwakala na kazi zenye vipato duni kimya kimya.

Binafsi naumia kuona vijana wana umri wa kua na familia hawana ajira ,hawana hela yani wapo wapo tu .
Inasikitisha Sana, baadhi wamekubali kufanywa machawa wa ccm, ccm inachojua ni kufanya uteuzi, kuzindua tume,na kutengeneza matundu ya vyoo
 
Kukosa ajira sio tatizo kubwa. Tatizo kubwa nipale ndezi za SISIM zinapo kwambia ujiajiri hafu sehemu za kujiajiri Kwa wasomi wanapewa wachina Kwa bei ya kutupwa hafu wanadai wamezalisha ajira za kipambavu sio na maslai Kwa mtz utakuta kiwanda hakijari no sheria za OSHA mda wa kazi hauzingatiwi
 
Vijana graduates pazeni sauti muajiriwe mnakaa kimya serikali inajisahau na nyie mnasahaulika

Imefika point kwa mwaka serikali ina ajiri wastani wa vijana 10,000 tu .

Graduates wengi wana jishughulisha na udalali,uwakala na kazi zenye vipato duni kimya kimya.

Binafsi naumia kuona vijana wana umri wa kua na familia hawana ajira ,hawana hela yani wapo wapo tu .
Unakuwa na elimu ya Chuo kikuu unaenda kutafuta kuajiriwa badala ya kutengeneza ajira? Lengo la elimu siyo kukupatia haki ya kuajiriwa.
 
Vijana graduates pazeni sauti muajiriwe mnakaa kimya serikali inajisahau na nyie mnasahaulika

Imefika point kwa mwaka serikali ina ajiri wastani wa vijana 10,000 tu .

Graduates wengi wana jishughulisha na udalali,uwakala na kazi zenye vipato duni kimya kimya.

Binafsi naumia kuona vijana wana umri wa kua na familia hawana ajira ,hawana hela yani wapo wapo tu .
Kijana! Graduate! Ujitambui? Sasa darasa la saba! Form four/six Graduate 🎓 atasemaje? Ulipofikia hakuna wa kukuambia cha kufanya! Utakufa na tai shingoni! Wewe kama Mkristo! Kipindi cha mfalme Nebukadreza alianzisha chuo kwa muda wa miaka 3! (Daniel 1: 3-21). Baada ya Graduation aliajiri vijana 4(wanne tu) mmoja wapo aliitwa Daniel! Sasa nyie kila mwaka mna graduate zaidi 60,000! Serikali kuwaajiri nyote lazima kila mwaka ifukuze au wafe angalau 75% ya 60,000 ili nyie nyote mpate ajira! Kwa ufupi wengi wenu mmesoma lakini hamna maarifa! Hata mtu akiwaajiri mnawaza ngono! Wizi! Kubeti! Utajiri wa haraka! Pambana na hali zenu!
 
Simple justification ni kwamba "Tatizo la ajira liko Duniani kote." Mbona Mengine yaliyoko Duniani kote kama Ushoga, usagaji, Haki ya utoaji mimba nk tunasema sio utamaduni wetu ila Tatizo ajira Kwa watoto wa wavuja jasho nila Dunia Nzima. Very selfish and Poor justification. Ever Happened.
 
CCM inawaita maafisa usafirishaji, badala ya kuwaita waendesha piki piki na bajaji 🤣
Simple justification ni kwamba "Tatizo la ajira liko Duniani kote." Mbona Mengine yaliyoko Duniani kote kama Ushoga, usagaji, Haki ya utoaji mimba nk tunasema sio utamaduni wetu ila Tatizo ajira Kwa watoto wa wavuja jasho nila Dunia Nzima. Very selfish and Poor justification. Ever Happened.
 
Ni heri iwe hivyo wajishughulishe wapate chochote kuliko wasifanye kabisa. Si huwa mnawaambia wasichague kazi!!

Back
Top Bottom