milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Utapeli ni mwingi nchi hiiUmesahau ya cherahani kuitwa kiwanda?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utapeli ni mwingi nchi hiiUmesahau ya cherahani kuitwa kiwanda?
Vijana watafute pengine sio serikalini. Serikali imejaza kupitia kiasi.Vijana graduates pazeni sauti muajiriwe mnakaa kimya serikali inajisahau na nyie mnasahaulika
Imefika point kwa mwaka serikali ina ajiri wastani wa vijana 10,000 tu .
Graduates wengi wana jishughulisha na udalali,uwakala na kazi zenye vipato duni kimya kimya.
Binafsi naumia kuona vijana wana umri wa kua na familia hawana ajira ,hawana hela yani wapo wapo tu .
Vijana watafute pengine sio serikalini. Serikali imejaza kupitia kiasi.
Mshahara na marupurupu ya wafanyakazi wa serikali ina beba zaidi ya nusu ya bajeti. Walipa Kodi asilimia 98 ya watanzania au milioni 59 wanaachiwa masalia ya bajeti kwa huduma na maendeleo. Hili haliwezekani
Wewe ngoja mtu aje akushike mkono akuambie njoo uone mfano hapa.Toka hapo ulipo uwaoneshe mfano. Wakati mwingine tuishi Kwa mifano tusiwe waongeaji tuu.
Vijana laki 6 kila mwaka wakijiajie kwa kifungua vyuo kutakalika humu?Kijana! Graduate! Ujitambui? Sasa darasa la saba! Form four/six Graduate 🎓 atasemaje? Ulipofikia hakuna wa kukuambia cha kufanya! Utakufa na tai shingoni! Wewe kama Mkristo! Kipindi cha mfalme Nebukadreza alianzisha chuo kwa muda wa miaka 3! (Daniel 1: 3-21). Baada ya Graduation aliajiri vijana 4(wanne tu) mmoja wapo aliitwa Daniel! Sasa nyie kila mwaka mna graduate zaidi 60,000! Serikali kuwaajiri nyote lazima kila mwaka ifukuze au wafe angalau 75% ya 60,000 ili nyie nyote mpate ajira! Kwa ufupi wengi wenu mmesoma lakini hamna maarifa! Hata mtu akiwaajiri mnawaza ngono! Wizi! Kubeti! Utajiri wa haraka! Pambana na hali zenu!
Alfu bado HESLB et wanataka pesa yao. Itoke wapi sasa.Vijana graduates pazeni sauti muajiriwe mnakaa kimya serikali inajisahau na nyie mnasahaulika
Imefika point kwa mwaka serikali ina ajiri wastani wa vijana 10,000 tu .
Graduates wengi wana jishughulisha na udalali,uwakala na kazi zenye vipato duni kimya kimya.
Binafsi naumia kuona vijana wana umri wa kua na familia hawana ajira ,hawana hela yani wapo wapo tu .
Na wote wamakubali kufanywa chawa.Na wote wako CCM
Watoto wa sikuizi wasenge mnoNa wote wamakubali kufanywa chawa.
Kivipi! Hujaeleweka!Vijana laki 6 kila mwaka wakijiajie kwa kifungua vyuo kutakalika humu?