Graduates wengi wana jishughulisha na udalali,uwakala na kazi zenye vipato duni kimya kimya.
Inasikitisha Sana, baadhi wamekubali kufanywa machawa wa ccm, ccm inachojua ni kufanya uteuzi, kuzindua tume,na kutengeneza matundu ya vyooVijana graduates pazeni sauti muajiriwe mnakaa kimya serikali inajisahau na nyie mnasahaulika
Imefika point kwa mwaka serikali ina ajiri wastani wa vijana 10,000 tu .
Graduates wengi wana jishughulisha na udalali,uwakala na kazi zenye vipato duni kimya kimya.
Binafsi naumia kuona vijana wana umri wa kua na familia hawana ajira ,hawana hela yani wapo wapo tu .
Unakuwa na elimu ya Chuo kikuu unaenda kutafuta kuajiriwa badala ya kutengeneza ajira? Lengo la elimu siyo kukupatia haki ya kuajiriwa.Vijana graduates pazeni sauti muajiriwe mnakaa kimya serikali inajisahau na nyie mnasahaulika
Imefika point kwa mwaka serikali ina ajiri wastani wa vijana 10,000 tu .
Graduates wengi wana jishughulisha na udalali,uwakala na kazi zenye vipato duni kimya kimya.
Binafsi naumia kuona vijana wana umri wa kua na familia hawana ajira ,hawana hela yani wapo wapo tu .
Kijana! Graduate! Ujitambui? Sasa darasa la saba! Form four/six Graduate 🎓 atasemaje? Ulipofikia hakuna wa kukuambia cha kufanya! Utakufa na tai shingoni! Wewe kama Mkristo! Kipindi cha mfalme Nebukadreza alianzisha chuo kwa muda wa miaka 3! (Daniel 1: 3-21). Baada ya Graduation aliajiri vijana 4(wanne tu) mmoja wapo aliitwa Daniel! Sasa nyie kila mwaka mna graduate zaidi 60,000! Serikali kuwaajiri nyote lazima kila mwaka ifukuze au wafe angalau 75% ya 60,000 ili nyie nyote mpate ajira! Kwa ufupi wengi wenu mmesoma lakini hamna maarifa! Hata mtu akiwaajiri mnawaza ngono! Wizi! Kubeti! Utajiri wa haraka! Pambana na hali zenu!Vijana graduates pazeni sauti muajiriwe mnakaa kimya serikali inajisahau na nyie mnasahaulika
Imefika point kwa mwaka serikali ina ajiri wastani wa vijana 10,000 tu .
Graduates wengi wana jishughulisha na udalali,uwakala na kazi zenye vipato duni kimya kimya.
Binafsi naumia kuona vijana wana umri wa kua na familia hawana ajira ,hawana hela yani wapo wapo tu .
Simple justification ni kwamba "Tatizo la ajira liko Duniani kote." Mbona Mengine yaliyoko Duniani kote kama Ushoga, usagaji, Haki ya utoaji mimba nk tunasema sio utamaduni wetu ila Tatizo ajira Kwa watoto wa wavuja jasho nila Dunia Nzima. Very selfish and Poor justification. Ever Happened.CCM inawaita maafisa usafirishaji, badala ya kuwaita waendesha piki piki na bajaji 🤣
Umesahau ya cherahani kuitwa kiwanda?CCM inawaita maafisa usafirishaji, badala ya kuwaita waendesha piki piki na bajaji 🤣
Vijana graduates pazeni sauti muajiriwe mnakaa kimya serikali inajisahau na nyie mnasahaulika