Wewe fikiria tu namna Tanzania inavyolisha nchi majirani wote wanategemea chakula na malighafi kutoka Tanzania, huko Mozambique, Malawi, Zimbabwe, Zambia, DRC, Burundi, Rwanda, Uganda, Kenya, Comoros wote hawa wanalishwa na Tanzania kama ukikaa mipakani ndio utashangaa
Morogoro kuna gari nyingi sana za Zambia, Zimbabwe zinaenda kusomba mchele na kupeleka nchi nyingi za kusini mwa Afrika, yaani hii Africa sisi ndio tunawalisha halafu unasikia mvuta bange mmoja Bungeni kwao anapayuka upumbavu gani sijui, hajui akigombana na Tanzania ni amegombana na uhai wake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]