Vijana, inapaswa kumuiga huyu mzee Mkenya ambaye sifa zake zimeenea ulimwengu wote

Tanzania ni 100% bora kwenye social welfare ukilinganisha na Kenya, tena kwenye usafi ndio usiongee.
 
Mkuu umebadili avatar. Imenifanya nikusahau.
 
Umemjibu kiungwana na umeongea point sana
 
Ooooh! Kumbe unanifuatilia kwa kupitia avatar? 😁
Ndio mkuu wengi hili jukwaa nawajua kwa avatar.... Nikiwa napitia post avatar inanipa urahisi wa kumtambua member vzr...sasa nimecheki avatar yako mhh nikajiuliza nan huyu??...kucheki jina kumbe wewe[emoji23]
 
Inapendeza sana...

Alafu hapo hapo serikali ya awamu husika inakuja na majigambo na mijisifa kibao...


Cc: mahondaw
 
Ndio mkuu wengi hili jukwaa nawajua kwa avatar.... Nikiwa napitia post avatar inanipa urahisi wa kumtambua member vzr...sasa nimecheki avatar yako mhh nikajiuliza nan huyu??...kucheki jina kumbe wewe[emoji23]
Ndio mimi nakula saani moja na hizi nyumbu mpaka heshima iwepo
 
Hawatakagi kuamini [emoji23][emoji23][emoji23]
😁😁😁 Wanafikiri Tanzania ina cha kujifunza Kenya, Hajui hii nchi ni ya kijamaa mambo kama huyo mzee anayoyafanya huku Tanzania ni zaidi tena sio suala la kujadili.
 
Unafahamu zile barabara za changarawe, mtaani kwangu huwa wanatenga angalau siku moja kwa mwezi kwa watu wote wa mtaa kuzirekebisha rekebisha [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16] Wanafikiri Tanzania ina cha kujifunza Kenya, Hajui hii nchi ni ya kijamaa mambo kama huyo mzee anayoyafanya huku Tanzania ni zaidi tena sio suala la kujadili.
 
Unafahamu zile barabara za changarawe, mtaani kwangu huwa wanatenga angalau siku moja kwa mwezi kwa watu wote wa mtaa kuzirekebisha rekebisha [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani ushirikiano na kufanya kazi kwa pamoja bila kujali malipo ni kitu Nyerere alifaulu sana Tanzania mpaka saivi kuna maeneo Tanzania bado wananchi wana ule utaratibu wa kujikusanya na kwenda kulima kwa pamoja kwenye shamba la mmoja wao kwa mzunguko mpaka wamalize mashamba yao yote,

Yaani kama mpo mia mnatenga siku mnalima wote kwenye shamba la mwenzenu mmoja baada ya muda mfupi mnamaliza mnahamia kwa mwingine hivyo hivyo mpaka mnamaliza.

Huu utaratibu umeisaidia Tanzania kwa kipindi kirefu kudumu katika shibe ya kutisha mpaka kuuza ziada mataifa jirani yote Tanzania ndio inayalisha toka miaka yote

Baada ya tractors kuwa nyingi sasa ndio kama huu utaratibu unaanza kutoweka kwenye maeneo.

Japo hii tabia imebaki kwenye nyanja nyingi kwenye jamii kuanzia kujenga shule, hospital, kuchangiana kwenye misiba, sherehe n.k
 
Ndio mkuu Nakumbuka kipindi cha nyuma unakuta unaombwa mkasaidie kulima, palizi au kuvuna alafu na wewe ikiwa zamu yako wanakusaidia
 
Ndio mkuu Nakumbuka kipindi cha nyuma unakuta unaombwa mkasaidie kulima, palizi au kuvuna alafu na wewe ikiwa zamu yako wanakusaidia
Huu utaratibu kwenye nchi nyingine zote Africa ni muujiza na itachukua maneno mengi sana kumueleza mtu akuelewe ni vipi haya yanawezekana.
 
Kabisa mkuu
Wewe fikiria tu namna Tanzania inavyolisha nchi majirani wote wanategemea chakula na malighafi kutoka Tanzania, huko Mozambique, Malawi, Zimbabwe, Zambia, DRC, Burundi, Rwanda, Uganda, Kenya, Comoros wote hawa wanalishwa na Tanzania kama ukikaa mipakani ndio utashangaa

Morogoro kuna gari nyingi sana za Zambia, Zimbabwe zinaenda kusomba mchele na kupeleka nchi nyingi za kusini mwa Afrika, yaani hii Africa sisi ndio tunawalisha halafu unasikia mvuta bange mmoja Bungeni kwao anapayuka upumbavu gani sijui, hajui akigombana na Tanzania ni amegombana na uhai wake πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji23][emoji23][emoji23] hatari sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…