and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,398
- 36,406
Vijana wenzangu msione aibu kukitetea Chama popote.
1. Kataeni Uraia Pacha "Dual Citizenship" maana watakuja wajuaji kuwastua WAZALENDO wengi. Mfano, eti Mkenya sijui Mpakistani nae awe raia si majanga? Maandamano kila kukicha.
2. Pingeni Katiba mpya maana haina maslahi kwetu.
3. Nunueni mamluki ili kazi ya kuwarubuni iwe nyepesi.