Katiba mpya iwe ya kutupendelea chama chetu ili tuendelee kuwachagulia Viongozi Visiwani tukiwa Makao Makuu Idodomya!Vijana wenzangu msione aibu kukitetea Chama popote.
1. Kataeni Uraia Pacha "Dual Citizenship" maana watakuja wajuaji kuwastua WAZALENDO wengi. Mfano, eti Mkenya sijui Mpakistani nae awe raia si majanga? Maandamano kila kukicha.
2. Pingeni Katiba mpya maana haina maslahi kwetu.
3. Nunueni mamluki ili kazi ya kuwarubuni iwe nyepesi.
Akili hizi za vijana wa CCM ndo misingi ya kutupatia akina Nchemba huko mbeleni.Vijana wenzangu msione aibu kukitetea Chama popote.