GE2025 Vijana JKT wahimizwa kutoa elimu ya Matumizi bora ya Mitandao ya kijamii wakati wa uchaguzi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Vijana waliopata Mafunzo ya Kijeshi katika Kikosi cha Jeshi la kujenga taifa (843KJ) Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi wametakiwa kutumia vizuri matumizi ya Mitandao ya kijamii kwa faida yao na taifa kwa ujumla.

Akizungumza wakati wa kufunga mafunzo ya Operesheni Okoa Nishati safi, Mgeni rasmi Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea Mohamed Hassan Moyo alisema kuwa bado Vijana wengi wa Kitanzania hawajui kutumia vizuri Mitandao ya kijamii kwa faida yao.


Your browser is not able to display this video.
 
Kwa hiyo hao vijana huko kambini walikuwa wanafundishwa cyber security? Tuanzie hapo Kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…