Utawala2025 JF-Expert Member Joined Oct 20, 2023 Posts 1,144 Reaction score 2,755 Jun 25, 2024 #1 Je vijana wa kitanzania tunajifunza nini kwa kile kinachoendelea kwa majirani zetu Kenya. Vijana wa Tanzania Tunapitia changamoto zisizotatuliwa kwa wakati. ~ AJIRA ~ MAZINGIRA MABAYA YA UWEKEZAJI KWENYE BIASHARA ~ MISHAHARA MIDOGO ISIYOKIDHI MAHITAJI KWA SEKTA BINAFSI NA ZA UMMA. PIA SOMA - LIVE - Yanayojiri Maandamano Kenya: Waandamanaji wafika Bungeni, wawili wauawa kwa risasi
Je vijana wa kitanzania tunajifunza nini kwa kile kinachoendelea kwa majirani zetu Kenya. Vijana wa Tanzania Tunapitia changamoto zisizotatuliwa kwa wakati. ~ AJIRA ~ MAZINGIRA MABAYA YA UWEKEZAJI KWENYE BIASHARA ~ MISHAHARA MIDOGO ISIYOKIDHI MAHITAJI KWA SEKTA BINAFSI NA ZA UMMA. PIA SOMA - LIVE - Yanayojiri Maandamano Kenya: Waandamanaji wafika Bungeni, wawili wauawa kwa risasi
GwaB JF-Expert Member Joined Mar 19, 2014 Posts 4,291 Reaction score 5,786 Jul 23, 2024 #2 View: https://x.com/CSakwah/status/1815766623728341106