Vijana wengi nchini kwetu Tanzania wanalichukulia suala la kilimo kama ni la kimasikini na lisilo wahusu.
Vijana wengi hasa wasomi tunaomaliza Vyuo Vikuu nchini tunalalamika ajira hakuna ni kweli lakini pia yatupasa sisi kufikiri kwa upana ni kwa namna gani tunaweza kutumia elimu tuliyoipata kwa miaka yote tuliyokaa darasani bila kujali umesomea kitu gani.
Mojawapo wa sekta nyeti na yenye uwanja mpana kwa vijana kuweza kujikita na kufanya makubwa katika taifa letu ni "KILIMO" sekta ambayo vijana ni kama wameiona haina maana lakini inaupana mkubwa na ndio suluhisho kubwa lakujikwamua na ukosefu waajira katika nchi yetu pia kukuza uchumi wetu.
Somo langu kwa vijana wenzangu tuache kubweteka na kuingia kwenye kilimo chenye tija kwakuwa uhitaji wa chakula duniani ni mkubwa na nchi yetu ina ardhi yenye rutuba na hali ya hewa nzuri inayoruhusu kuingia kwenye fursa hii.
Ombi langu kwa Serikali ningeomba ijaribu kuangalia kwa jicho la pili kwa vijana kwenye kilimo ili vijana waweze kupata elimu juu ya tekinolojia zilizopo kwenye kulimo pia kuweka miundombinu rafiki ya kilimo ili vijana waingie ili kupunguza tatizo la ajira pia kukuza uchumi wa taifa letu.
Mungu ibariki Tanzania ,mungu ibariki Afrika na vijana wanaotegemewa kuendeleza taifa letu.
Asanteni sana.