Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwalimu sema neno, kwa nini wanaume wanawaogopa?Okee
Hapa unakubali kua wanawake wa sasa kitabia sio kama wanawake wa zamani,which it's trueNgoja mi niseme
-Vijana wa kiume wa Sasa ni wajanja na wanaojitambua, wanaelewa tofauti kati ya majukumu halali na kujibebesha mzigo.
-Utandawazi umechangia kuharibu feminity ya wanawake wengi Kiasi Cha kupoteza Ile natural innocence waliokua nayo mama zao, wanawake kutumia uanamke wao kama kivuli Cha kukwepea majukumu Yao ya msingi... Vijana wa Sasa wanaliona Hilo
Hapa pia unakubali kua tatizo ni ugumu wa maisha,inaweza kua kweli,-Ugumu wa maisha + Kutokua na uhakika wa future + Majukumu ya kukomboa familia zao walikotokea inasababisha kijana ajipe likizo
Ni kweli kabisa upo sahihi,-Wanawake wengi wamegeuka kuwa narcissists kwenye mahusiano, yaan mwanaume ndo injini ya mahusiano atoe kwanzia hela, show Kali etc wakati wao KAZI Yao ni kuleta drama and childish acts, vijana wanaona..
Kutokana na maelezo yako hapo juu,hukutakiwa kuandika hizi lawama coz sababu kuu umesha ziandika tayari,huo ujinga unaodai wa wanaume wa miaka ile ni upi ikiwa umeshakubali kua wanawake wa zamani walikua ni watiifu? huoni kua unajipinga wewe mwenyewe kwa kauli zako zilizotangulia?Kiufupi
Wanaume wa miaka Ile walikua wajinga na mapoyoyo, nahisi sababu ya elimu na utanda Giza. Hawakua majasiri mbele ya wanawake .. most were fools
Siku hizo sex inanunuliwa na inapatikana muda wowote ule,hii ni moja ya sababu ya Vijana kutokuoa,na hao waolewaji kwa mujibu wa maelezo yako,hawafai kitabia,sasa huo u smart unaouongelea hapa ni upi hasa?Vijana wa Sasa ni smart and they learn fast from there mistakes and mistakes of others mostly
Hayo ni matumizi mabaya ya papuchiNguvu za kiume amechukua mo extra.
Nguvu za kiuchumi amechukua mama tozo.
Mwanamme na tango nachagua tango!!
Hamna kijana anaye muogopa mwanamke,ndio maana hamna kizazi kinacho fanya ngono kwa fujo kama hiki cha sasa,sababu kwa kizazi hiki ngono ni kitu rahisi sana kupatikana.Habari Wakubwa,
Naona kuna. Tukio sio la kawaida naanza kuona vijana tunaanza kuwaogopa Wanawake sijui kaka zetu walifanikiwa vipi.
Tena hawa kataa ndoa. Ndio wanatuharibu kabisa kisaikolojia kabisa.
TUNAKWAMA WAPI
🙏
Naunga mkono hoja. Halafu hizi fiber skin za kisasa zinafanya wanawake waonekane vituko kabisa. Haiwezekani leo nikuone hamisa, kesho zuwena keshokutwa Beyonce. Definitely siwezi kukupatikia. Mimi kama sehemu ya vijana wa zamani tunawapongeza nyie vijana wa sasa. Endeleeni, mko njia sahihi. Wekeni jitihada kwenye kuijenga nchi yenu sio kiwajenga hao, hawashibagi chochote.Ngoja mi niseme
-Vijana wa kiume wa Sasa ni wajanja na wanaojitambua, wanaelewa tofauti kati ya majukumu halali na kujibebesha mzigo.
-Utandawazi umechangia kuharibu feminity ya wanawake wengi Kiasi Cha kupoteza Ile natural innocence waliokua nayo mama zao, wanawake kutumia uanamke wao kama kivuli Cha kukwepea majukumu Yao ya msingi... Vijana wa Sasa wanaliona Hilo
-Ugumu wa maisha + Kutokua na uhakika wa future + Majukumu ya kukomboa familia zao walikotokea inasababisha kijana ajipe likizo
-Wanawake wengi wamegeuka kuwa narcissists kwenye mahusiano, yaan mwanaume ndo injini ya mahusiano atoe kwanzia hela, show Kali etc wakati wao KAZI Yao ni kuleta drama and childish acts, vijana wanaona..
Kiufupi
Wanaume wa miaka Ile walikua wajinga na mapoyoyo, nahisi sababu ya elimu na utanda Giza. Hawakua majasiri mbele ya wanawake .. most were fools
Vijana wa Sasa ni smart and they learn fast from their mistakes and mistakes of others mostly
Mimi kama muwakilishi wa hao kaka, nasema kweli kabisa tulikuwa mazezeta na bahati mbaya uzezeta wetu unaendelea hadi sasa. Viinua mgongo vinaishia kwao. Endeleeni vijana, mko njia sahihi.hao kaka zao walikuwa mazezeta,....
Umefanya uchambuzi vizuri sana, wakati nna present his facts nilikua nna freestyle tu sikuzingatia mpangilio wa hojaHapa unakubali kua wanawake wa sasa kitabia sio kama wanawake wa zamani,which it's true
Hapa pia unakubali kua tatizo ni ugumu wa maisha,inaweza kua kweli,
Ni kweli kabisa upo sahihi,
Kutokana na maelezo yako hapo juu,hukutakiwa kuandika hizi lawama coz sababu kuu umesha ziandika tayari,huo ujinga unaodai wa wanaume wa miaka ile ni upi ikiwa umeshakubali kua wanawake wa zamani walikua ni watiifu? huoni kua unajipinga wewe mwenyewe kwa kauli zako zilizotangulia?
Siku hizo sex inanunuliwa na inapatikana muda wowote ule,hii ni moja ya sababu ya Vijana kutokuoa,na hao waolewaji kwa mujibu wa maelezo yako,hawafai kitabia,sasa huo u smart unaouongelea hapa ni upi hasa?
Nimekuja kugundua sisi wanaume wengi humu JF tunateseka sana na mapenzi. Na inaonesha jinsi tulivyo wadhaifu kihisia. Wanawake wengi kihisia wako very strong. Lakini sisi midume tuko unsecured kupita maelezo. Nyuzi na comment nyingi kutoka kwetu sisi midume uchwara ni malalamiko tu ya mapenzi na hii inakisia wazi hali halis ya sisi midume siyo hapa tu JF bali hata kwenye jamii kwa jumla. Silaumu ni forces of nature ila ni vizuri kucontrol. Kwa upande wangu nikionaga wanandoa wanapigana na kutofautiana nafurahigi sana.Habari Wakubwa,
Naona kuna. Tukio sio la kawaida naanza kuona vijana tunaanza kuwaogopa Wanawake sijui kaka zetu walifanikiwa vipi.
Tena hawa kataa ndoa. Ndio wanatuharibu kabisa kisaikolojia kabisa.
TUNAKWAMA WAPI
🙏
Kipato cha kuanza kuishi na mwanamke kinatakiwa kisipungue 25000 tena kiwe kina weza kuingia hata bila ya wewe kwenda kazini unapokuwa mgonjwa..na uwe na akiba isiyo pungua sh mil moja benkiShida ni moja tu uchumi siwezi kuwa na kipato Cha elfu 10 kwa siku nikaanza kuudumia mwanamke never !!