Vijana kuwaogopa Wanawake

Umeongea point Sana hasa hapo kwenye narsisist,kweli wanawake sio wote ila wengi hawana character Wala hobby kazi kujiremba tu
 
Mkuu vijana wa zamani ndiyo wamefaidi mahusiano kwasababu Wanawake walikua hawaombi hela ya kununua simu wala vocha na gari au kuomba pesa za kulipia kodi ya Nyumba.
 
Wanaume wa enzi zile ndo sisi sasa sasa hv tuna hela,hatukimbii majukumu na ndo maana videmu vyenu vya 2000 vinatupenda na tunavikaza kinoma noma huku nyie vijana wa leo wakimbia majukumu mkipiga nyeto
 
Wanaume wa enzi zile ndo sisi sasa sasa hv tuna hela,hatukimbii majukumu na ndo maana videmu vyenu vya 2000 vinatupenda na tunavikaza kinoma noma huku nyie vijana wa leo wakimbia majukumu mkipiga nyeto

Kila mtu ashinde mechi zake Mkuu, ila Siku nyingine usithubutu kufananisha nyeto na mambo ya kijinga. Uchakataji uendelee
 
Kiufupi
Wanaume wa miaka Ile walikua wajinga na mapoyoyo, nahisi sababu ya elimu na utanda Giza. Hawakua majasiri mbele ya wanawake .. most were fools
Vijana wa Sasa ni smart and they learn fast from their mistakes and mistakes of others mostly
Weee kumbeee?!!
 
Wakina baba na vijana wa zamani walikua masimp, kwa bahati nzuri usimp wao ulikutana na kizazi cha wanawake watiifu kwaiyo haukuwaletea madhara sana. Lakini kwa hali uliyopo kwenye dating pool sasa hivi kijana ukiwa simp umekwisha
 
Vijana na wakina baba wa zamani walikua masimp., ndio walikuja na misemo ya kipumbavu ya kitanda hakizai haramu, kuchapiwa ni siri ya ndani n.k.

vijana wa sasa wamezifungua codes na kuona mambo katika uhalisia.

Nowadays men are enlightened, Men have realized that, no woman loves a man unconditionally, women are only attached to what a man can bring on to the table, that's,man's achievements, money, success, resources etc
 
Ushauri wako tumeupokea na tunakuahidi hatutakuangusha.
 
Wanawake wengi kihisia wako very strong.
They are not strong, they can move on quickly because they invest nothing in relationship. Also marital law favor them when it comes to divorce case.

Put a woman in man's position of being a provider in relationship, she will not last even for a week.
 
Kipato cha kuanza kuishi na mwanamke kinatakiwa kisipungue 25000 tena kiwe kina weza kuingia hata bila ya wewe kwenda kazini unapokuwa mgonjwa..na uwe na akiba isiyo pungua sh mil moja benki
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.. shida yote ya nini wakati gharama ya kulala na dadapoa mara moja kwa wiki ni ndogo sana ukilinganisha na gharama ya kumtunza mwanamke maisha yake yote
 
Toooo accurate
 
Brother agiza kinywaji hapo nikutumie hela
 
Mkuu huu ndo uhalisia asante sana kwa kuliona hili πŸ™πŸ»βœŠπŸ»πŸ‘ŠπŸ»
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…