Vijana kuweni makini na bodaboda

Vijana kuweni makini na bodaboda

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Leo ukipelekwa Bugando umevunjika mfupa utapigwa ganzi na kufungwa mawe halafu unamsubiri daktari saa nyingine inazidi hata mwezi kumpata daktari kufanya operation.

Japo ajali haina kinga lakini inauma sana kukaa wodini mwezi sababu ulikuwa na mbwembwe barabarani.
Kama hauna milioni tatu unaweza kukaa hata mwaka wodini.
 
Lawama ziende kwa viongozi waliorasmisha bodaboda kuwa ajira
 
Back
Top Bottom