Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Kuna vijana mjini wanaishi maisha mazuri, ila wamewatelekeza wazee wao huko shamba, unakuta mzee wa miaka 70+ bado anapambana na ajiraMkuu, kama ulivyohitimisha, kijana wa leo ndio mzee wa kesho.
Nisipoandaa uzee wangu leo, itabidi kijana wangu aanze kutumia ujana wake kuuishi uzee wangu, mpaka akishtuka, na yeye ni mzee na inabidi ategemee maisha ya vijana wake kusukuma uzee wake.
Muhimu ni kuwasisitiza vijana kuishi maisha yao wakijali kesho yao, ukigonga 50 na unaona kabisa mambo hayaendi, kata misaada yote na ndugu wote!
Kama huna shida yoyote, kati ya 21 mpaka 24 una mtoto, 27 una mtoto, 33 mwisho wa kuweka mtoto. Ifikapo 60, uliyempata ukiwa na 33 anakuwa na 27, kama hajiwezi pumbavu zake, asikujue, uzee ni wako, pension ni yako!
Watunze wazee mkuu; ukiwapiga chenga, na wewe utapigwa chenga na vijana wako utakapokuwa mzee
Wazee wangu nawapa mshahara kila mwisho wa mwezi ndo matter ntakuwa vibaya kiasi gani ila lazima niwape kila mtu yakeWatunze wazee mkuu; ukiwapiga chenga, na wewe utapigwa chenga na vijana wako utakapokuwa mzee
Sasa unakuta wazee wengi walitupiga chenga enzi za ujana wao wakawahudumia wale waliozaliwa na wa mchepuko, sasa wa mchepuko wamekula muwa na sasa ni mateja, anaaanza kuleta uzazi wake kwangu!Watunze wazee mkuu; ukiwapiga chenga, na wewe utapigwa chenga na vijana wako utakapokuwa mzee
Angalia usije ukawapa chote, na wewe ukaja kuwa omba omba katika uzee wakoWazee wangu nawapa mshahara kila mwisho wa mwezi ndo matter ntakuwa vibaya kiasi gani ila lazima niwape kila mtu yake
Kuna umri ukifika, inabidi kujiandalia uzee wako; lasivyo unaweza kuzeeka vibaya, ukajikuta unavaa suruali upande wa nyuma unakuwa mbele.Sasa unakuta wazee wengi walitupiga chenga enzi za ujana wao wakawahudumia wale waliozaliwa na wa mchepuko, sasa wa mchepuko wamekula muwa na sasa ni mateja, anaaanza kuleta uzazi wake kwangu!
Siyo hao tuu Mzee yeyote yule .. ajilee yeye mwenyewe .Na wale wazee waliotelekeza familia zao, watoto wakapambana kivyao au kwa support ya watu wengine hadi wakatoboa(wakawa na uhakika wa milo 3 kwa siku). Hawa wazee pia tunawazungumziaje?
Waswahili wanasema, 'uliyeokota naye kuni ndio mtaota naye moto pamoja'; wanamna hiyo, ni kuwaacha ili liwe somo kwa wazee wengine watarajiwaNa wale wazee waliotelekeza familia zao, watoto wakapambana kivyao au kwa support ya watu wengine hadi wakatoboa(wakawa na uhakika wa milo 3 kwa siku). Hawa wazee pia tunawazungumziaje?
Lea wazee; acha kunywesha watu pombe baa na kulisha totoz, waswahili wanasema wazee ni Mungu wa piliKwani lazima?
Ni lazima narudia tena ... Ni lazima...
Siyo lazimaaaaa
Ila ni lazima Mzee anilee mimi nasema tena ni lazima anilee mimi...
Kama mzee hukupanga life lako vizuri lazima ulilie kuletewa na mwanao .. mwanao nae anayo familia yake aseh ... Kulea ni yeye tuu aamue/ajisikie ... Napo siyo lazima siyo kosa asipokulea...
Sasa wewe kijana mwenzangu zichange karata zako kizembe utegemeee mwanao ake akuleee...
Acha ukumbafu
Kumbuka na wewe ni mzee mtarajiwa; watoto wako watakutelekezaSiyo hao tuu Mzee yeyote yule .. ajilee yeye mwenyewe .
Wewe na mimi (watoto wetu tulee familia zetu)
Maneno ya waswahili hayo siyo yangu mkuu.Lea wazee; acha kunywesha watu pombe baa na kulisha totoz, waswahili wanasema wazee ni Mungu wa pili
Sawa ni jukumu , ni qajibu wangu kuwatimizia , ni lazima niwatimizie nahitaji yao mpaka pale watakapojiweza wao ila siyo lazima wanitimizie mimi...Kumbuka na wewe ni mzee mtarajiwa; watoto wako watakutelekeza
Unatakiwa umtunze, aonekane kijanaWatunzeni wazazi wenu, sisi tusio nao Kuna muda unatamani angekuwepo umpe ila ndo hivyo Tena, Nina bibi ila mambo yake yalikuwa meusi namtumia kwa kupenda.