Vijana machachari ndani ya CCM

prince kyextcatted

New Member
Joined
Dec 12, 2013
Posts
3
Reaction score
4
CCM ni moja ya chama kikubwa barani Afrika na pia ni moja kati ya vyama vichache vya ukombozi ambavyo vilipigania uhuru na bado vipo madarakani mpaka leo

Umahiri huu wa chama cha CCM haujaja hivi bali ni kuwa na structure nzuri ya uongozi kuanzia ngazi ya taifa mpaka ngazi ya kata lakini pia CCM kimekuwa ni chama ambacho kinamvuto sana kutokana na uwezo wake wa kuandaa vijana ambao ndio taifa la kesho katika makala hii ningependa kuchambua vijana ambao kwa miaka hii kumi wamekuwa prominent figure ingawa upepo bado haujawakalia vizuri ila kwangu ni naamini wana future nzuri ndani ya CCM pamoja na nchi kwa ujumla

1. Steven Nyerere
Kijana mchekeshaji kutoka bongo movies ambae amejizolea umaarufu mkubwa kupitia siasa nae naona kwa badae ana nafasi kubwa ya kuja kutengo na mama kutokana na ushawishi wake lakini advantage kubwa ambayo anayo na nimuhimu katika siasa zetu steven nyerere ni mtu ambaye akiongea watu u-pay attention ili kusikiliza nn anataka kuongea kama steven nyerere atachaguliwa atakuwa kafuata nyayo za chopa mchopanga aliyeteuliwa kuwa mkuu wa wilaya ya rorya.

2. Thadei Ole Mushi
Kijana machachari kutoka CCM mwalimu Thadei Ole Mushi amekuwa ni moja kati ya great thinker wazuri ambao ccm wanajivunia nae amekuwa akiandika makala nyingi sana kupitia Facebook mtandao ambao anazaidi ya wafuasi 46,000 kwangu mm naona mama anajukumu la kutupa jicho kwa vijana kama hawa ambao tayari ni public figure na wameshajizolea wafuasi wengi kupitia wanachokifanya kwangu mm naona ananafasi kubwa kwenye kupata teuzi katika ukanda wa kaskazini

3. Ally Bananga
Aliyekuwa duwani wa kata ya sombetini mwanakandoo ambae alipotelea chadema na sasa amerudi nyumbani CCM Ally Bananga kwangu mm naona bado ni kijana ambae ana uwezo ana uthubutu wa kuweza kulitumikia taifa hili na nina amini ndani ya serikali hii ya awamu ya sita mama atampa kitengo

4. Victor Tesha
kijana kutoka kanda ya Kaskazini msomi wa masuala ya uchumi katika chuo kikuu cha Mzumbe pia ameshiriki katika project nyingi kubwa kama kuanzishwa kwa touchmate ambayo ilikuwa chini ya marehemu Reginald mengi. Kwa sasa inasemekana amejiajiri anafanya shughuli zake binafsi naona kabisa nyota yake ikija kung'ara ndani ya CCM ama taifa kwa ujumla katika nyanja ya siasa ni mpambanaji na asiye kata tamaa ameshindwa mara mbili katika kura za maoni moshi vijijini ila ninaona kabisa kwa jicho la mama kwa vijana. tesha ana nafasi ya kuja kuwa DC katika mkoa wa arusha au moshi ni swala la muda tu.

 
Akina Bananga, S. Nyerere nao wamekua vijana?
CCM imejaa watu wajinga sana, hata Jaji Warioba bado anaitwa kijana CCM, Bananga ni babu ana wajukuu lakini bado anaitwa kijana.

Mwigulu ni babu lakini anajiita kijina sijui wanapata faida gani kujiita vijina, kuna babu mmoja cheo chake ni 3 kutoka juu aweka nywele majitu meusi ili asionekane ni mzee huku kichwa kipo kama sabuni ya unga.

Ni mambo ya hovyo na aibu kubwa sana.
 
Acha ujinga, ukiandika utumbo kama huu, tunajua jinsi ulivyo shithole.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ILI UWE KIJANA MACHACHALI LAZIMA IWE HIVI KWANZA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…