Vijana mbona kuna resfreshments na leisure nyingi sana, katika zote, kwanini tuangukie katika pombe kali zinazoharibu mustakabali wa maisha yetu

Vijana mbona kuna resfreshments na leisure nyingi sana, katika zote, kwanini tuangukie katika pombe kali zinazoharibu mustakabali wa maisha yetu

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Miaka ya nyuma ulikuwa ukikutana na mzee anayumba yumba barabarani ila sasa hivi vijana unakutana nao bara barani mchana wanayumba yumba, wamelewa.

Bila kutaja brand za watu hapa, ila kuna vibrand vimeingia mtaani na watu wanaviuza kwa kuvipima pima, ile unasema ngoja nigonge ka jelo ila unajikuta hadi imefika saa 9 mchana umeshanunua chupa moja na nusu na upo chakali.

Koo zinapitishwa grader, maini yanaungua, utumbo unageuka nyama choma, vibofu vimekuwa chips zege, akili zinayumbishwa, aiseeeh!!

Kutokuji-control ni rafiki wa addiction, kuna vichwa vya hizi mambo ila wengi wenu mnavamia tasnia
 
Hili taifa ni kama watu wamelala usingizi,sijui tafiti za afya zinaonyesha nini juu ya kuumia kwa vijana na hizi pombe kali...
 
Pombe + chakula ndo habari ya mjini acha lawama pombe haina shida ila wanywaji na walevi weng ndo wanashida wanakunywa afu awakuli vzr
 
Hili taifa ni kama watu wamelala usingizi,sijui tafiti za afya zinaonyesha nini juu ya kuumia kwa vijana na hizi pombe kali...
Pombe kali sio ttzo tatizo ni vipato wanakula pombe kali afu hawali vzr na kibaya zaidi ata kuoga hawaogi
 
1740897630413.jpg
 
Back
Top Bottom