'Vijana Mkajiajiri' wao wanahonga Wajumbe ili Wakaajiriwe Bungeni kwa Mshahara wa 18m kwa Mwezi

and 998 others

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
28,477
Reaction score
40,278
Wagombea ambao kila mara wanasisitiza vijana wakajiajiri wao Wanahonga ili wakaajiriwe Bungeni wapate Mshahara 18m (bila kodi)kwa mwezi, kiinua mgongo sio chini ya 400m na posho kama zote.

1. Gambo na Januari karibuni TUJIAJIRI kitaa.
 
Hao wajumbe kwani vilaza sana , sii wapokee pesa alafu , wawachinjie mbali,
Waweke MTU wanaomtaka ?
 
Wagombea ambao kila mara wanasisitiza vijana wakajiajiri wao Wanahonga ili wakaajiriwe Bungeni wapate Mshahara 18m (bila kodi)kwa mwezi, kiinua mgongo sio chini ya 400m na posho kama zote.

1. Gambo na Januari karibuni TUJIAJIRI kitaa.
Tunajivunia ilani
 
Back
Top Bottom