GE2025 Vijana Mlimba wasukuma gari la mgombea urais wa CHAUMMA, Salum Mwalim

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Vijana wa Jimbo la Mlimba, mkoani Morogoro, wameonyesha mshikamano mkubwa kwa kumsukuma gari la Mgombea Urais kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalim, mara baada ya kumaliza kunadi sera za chama hicho.

Akizungumza na vijana hao akiwa njiani kuelekea Ifakara kuendelea na kampeni, Salum Mwalim alieleza dhamira ya serikali yake kuweka kipaumbele katika ajira kwa vijana, pamoja na kuboresha miundombinu ya barabara ili kurahisisha huduma na shughuli za kiuchumi.

Vijana acheni mbwembwe uzalendo kwanza utaifa kwanza,vihoja havina nafasi vinalibomoa taifa.
 
Vijana wa Jimbo la Mlimba, mkoani Morogoro, wameonyesha mshikamano mkubwa kwa kumsukuma gari la Mgombea Urais kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalim, mara baada ya kumaliza kunadi sera za chama hicho.

Akizungumza na vijana hao akiwa njiani kuelekea Ifakara kuendelea na kampeni, Salum Mwalim alieleza dhamira ya serikali yake kuweka kipaumbele katika ajira kwa vijana, pamoja na kuboresha miundombinu ya barabara ili kurahisisha huduma na shughuli za kiuchumi.

Kaishia wapi salum mwalim???????
Au alitumimika kama tishu ya choon?
 
Back
Top Bottom