Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Kuna vukundi vya wahuni wachache wao wakisikia hela wanatetemeka na kugeuka kuwa mashetani.
Nimesoma sehemu mbalimbali madogo wakilalamikia kupewa buku 20, msiwe wajinga waonyesheni hamjaenda kunyonyesha watoto maziwa kama wanavyowachukulia.
Muwe pamoja, onyesheni umoja kama mnamechi karibuni.
Amueni hamchezi.
Na kama mkichezaa chomesheni hata magoli saba plus wajue mnajua wanachofanya.
Dunia imekuwa na mashetani wengisanaaaaasanaaaahasaapalekarumeee.