Vijana mlio kwenye 20s, tulizeni akili

Mwezeshaji1

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2023
Posts
237
Reaction score
565
Huu umri una harakati nyingi, na hauna uzoefu unaohisi unao.

Tulia;

1. Pata ujuzi (au wazo la biashara)

2. Anza

3. Acha kuota utatoboa KIMIUJIZA

Utajishukuru ukiwa 32+

(& kwa mabinti, ongeza na kuacha kuhisi kila kijana anayekuhitaji atakuoa, umri huu uzuri wako unaonekana kwa UZURI saaana, acha kujichukulia poa, CHAGUA).
 
Kun dogo wa 99 miaka ya 2024 alikuw anamslizia nyumba yake hspo Mkuranga. Na alikuw casual tu.. vijana wapewe fursa zaid kuliko ushaur
 
Sometimes u can't choose and u change and sometimes u feel like u gain less than u loose.
 
Wakati uko early 20s ulikuwaje? Au ndio uko umri huo?
Nimevuka tayari, miaka hiyo nilimaliza shule na kuanza kujitafuta, haikuwa rahisi ila sasa nikiangalia nyuma naona kila hatua ilikuwa MUHIMU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…