Mwezeshaji1
JF-Expert Member
- Sep 26, 2023
- 237
- 565
- Thread starter
-
- #21
Ni kweli, si sehemu rahisi hata hivyo lazima upambane kutokana na ulipo.Vijana wanachokosa ni sapoti ya kiuchumi.
Ni kweli, si sehemu rahisi hata hivyo lazima upambane kutokana na ulipo.
Mtaji wa pesa hakuna, vipi nguvu au ujuzi? Chamsingi aanze hata kama kwa udogo, kuliko kusubiri huu muda upite bila kuutumia
Chamsingi ufurahi huku unawaza kesho.Ishi maisha kwa kufurahi kila siku
the future is unpredictable
Kupenda mafanikio ya haraka tatizo liko wapi hapo?
Ishu n njia ya kufanikiwa na sio aina ya mafanikio.
Imetokea nimepata mchongo halali wa pesa ndefu nikatoboa, hapo tatizo liko wapi mzee
Kupenda mafanikio ya haraka tatizo liko wapi hapo?
Ishu n njia ya kufanikiwa na sio aina ya mafanikio.
Imetokea nimepata mchongo halali wa pesa ndefu nikatoboa, hapo tatizo liko wapi mzee?
Kupenda mafanikio ya haraka tatizo liko wapi hapo?
Ishu n njia ya kufanikiwa na sio aina ya mafanikio.
Imetokea nimepata mchongo halali wa pesa ndefu nikatoboa, hapo tatizo liko wapi mzee?
Ili upate hizo connection inahitaji uingie kwenye mchezo, hazikukuti ndani umelala.Kupenda mafanikio ya haraka tatizo liko wapi hapo?
Ishu n njia ya kufanikiwa na sio aina ya mafanikio.
Imetokea nimepata mchongo halali wa pesa ndefu nikatoboa, hapo tatizo liko wapi mzee?
Mambo sio mstari ulioonyooka, inabidi uwe mwepesi kujifunza na kuchukua hatua kuendana na lengo.Sometimes u can't choose and u change and sometimes u feel like u gain less than u loose.
Ni kweli, na in your 20s ni kawaida kukosa hela ya kula, chamsingi usikubali kukata tamaa, huu muda sio wa kuchezea.Nguvu kama Pesa ya kula huwezi kuwa nazo Mkuu.
Ukishakuwa na uhakika wa kula mafanikio ni kuamua tuu.
Lakini kama chakula kinakuzingua. My friend kazi ipo
Ni kweli, na in your 20s ni kawaida kukosa hela ya kula, chamsingi usikubali kukata tamaa, huu muda sio wa kuchezea.
Heri uanze kivyovyote ilivyo halali, na uupe muda fursa ya kukupa maarifa, connection na fursa tofauti, otherwise utashangaa hali iko vilevile even after 10+ years aisee
Right on, na hapa kwetu ukisema usubiri hupati kitu, ile 'mtu atakula kwa jasho' ni real vibaya sana.Things may come to those who wait, but only the things left by those who hustle.
Naungana nawe, hata nami nimeona kuna juhudi na kwangu naita "rehema za Muumba", ila naona hata hizi Rehema, zinakupata ukiwa kwenye kujitafuta, unakutana na jinsi fulani ya kupiga hatua ambazo isingekuwa rehema, usingetoboa.Wakati nakua niliamini maisha yanaendeshwa kwa jitihada binafsi. Niliamini katika uwezo wangu, akili na juhudi.
Sikuwa mshabiki wa bahati, niliwapinga walioamini kwenye bahati na Mapenzi ya Mungu.
Hiyo haimaanishi simwamini Mungu. Ila siamini katika bahati na miujiza. Ingawaje yapo mambo yaliyotokea kwangu kimiujiza.
Kadiri ninavyozidi kukua naanza kuwaelewa waliokuwa na mtazamo wa maisha ni bahati.
Ingawaje mimi naongeza maisha ni juhudi na bahati
Kabisa.Right on, na hapa kwetu ukisema usubiri hupati kitu, ile 'mtu atakula kwa jasho' ni real vibaya sana.
Ivi tunakula ili tuishi au tunaishi ili tule???Nguvu kama Pesa ya kula huwezi kuwa nazo Mkuu.
Ukishakuwa na uhakika wa kula mafanikio ni kuamua tuu.
Lakini kama chakula kinakuzingua. My friend kazi ipo
Ivi tunakula ili tuishi au tunaishi ili tule???
Naungana nawe, hata nami nimeona kuna juhudi na kwangu naita "rehema za Muumba", ila naona hata hizi Rehema, zinakupata ukiwa kwenye kujitafuta, unakutana na jinsi fulani ya kupiga hatua ambazo isingekuwa rehema, usingetoboa.
Badili huo mtazamo, akili zenu za upigaji sio kila mtu anazoIli upate hizo connection inahitaji uingie kwenye mchezo, hazikukuti ndani umelala.
Upigaji umeingiaje hapa? Namaanisha hata mtu wa kukushtua twende huku kuna wateja atakukuta kwenye harakati, sio home.Badili huo mtazamo, akili zenu za upigaji sio kila mtu anazo
Ukishasema harakati, bc haiwez kuwa home n kwenye kupambanaUpigaji umeingiaje hapa? Namaanisha hata mtu wa kukushtua twende huku kuna wateja atakukuta kwenye harakati, sio home.
Wakati nakua niliamini maisha yanaendeshwa kwa jitihada binafsi. Niliamini katika uwezo wangu, akili na juhudi.
Sikuwa mshabiki wa bahati, niliwapinga walioamini kwenye bahati na Mapenzi ya Mungu.
Hiyo haimaanishi simwamini Mungu. Ila siamini katika bahati na miujiza. Ingawaje yapo mambo yaliyotokea kwangu kimiujiza.
Kadiri ninavyozidi kukua naanza kuwaelewa waliokuwa na mtazamo wa maisha ni bahati.
Ingawaje mimi naongeza maisha ni juhudi na bahati
Ushaur una mchango mdogo mdogo sana kwenye kubatle changamoto hasa hiz za uhaba wa fursa.Nzuri sana, na wasipopewa wazitafute.