Kyambamasimbi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 762
- 1,597
Habr wanjf.
Kwa upendo kabisa naomba kuwashauri wazazi wenzangu, ni vyema kuwa na maono ya mbali kuhusa safari ya maisha ya vijana wetu,kama kijana amefaulu form six au form four ni vyema aende VETA akapate ujuzi utakaomfanya Aishi kuliko kutafuta Sifa kwamba Nina Degree isiyo na faida, Huku umepoteza rasilimali mda na fedha.
Washaurini vijana wenu waone mifano halisi kwa vijana walioko mtaani na wengine bodaboda, mwambie Ili baadae asije kulaumu mtu. Ni maoni yangu.