Vijana mliofaulu Form six nashauri nendeni VETA kuliko kwenda vyuo vikuu kupoteza muda na gharama zisizo za lazima

Vijana mliofaulu Form six nashauri nendeni VETA kuliko kwenda vyuo vikuu kupoteza muda na gharama zisizo za lazima

VETA kuna nn huko mkuu, ungeshauri kozi za VETA zipelekwe vyuo vikuu. University ni maisha mengine kule tunajifunza tunajifunza vingi sana, shida ni uthubutu baada ya kutoka chuo. University imebeba elimu ya ulimwengu.
 
Kuna jamaa hapa kasoma veta ni fundi tu wa umeme wa magari ila yupo ku Dili na machine za underground (mgodini ) anakunja m8.3 kama basic salary Bado mapishi posho mengine. Ukumbuke kabla ya hapa alikuwa burkisafaso,Mali,congo nk jamaa ana ukwasi sana afu kijana mdogo tu ndo anakaribia miaka 30 Hivi

Nimekaa nae Kwa muda sana akinipa mchongo yeye aliishia la saba na kwenda veta.

Huwa anaapa na kusema Watoto wake mwisho form tu heri awape mtaji kuliko waendelee kupoteza muda huko mambele
 
Back
Top Bottom