Kyambamasimbi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 762
- 1,597
Unamaanisha niniGraduate wa darasa sio Graduate wa Maisha...
Hata huko pia Mambo ni yake Yale siku hizi hakuna pakukimbilia Cha msing kwenye kutoboa lazma ujitoe ufahamu kwanza
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Hapana usipotoshe...acha waende Univ VETA zipo tu hata akimaluza vyuo ataenda tuuuHabr wanjf.
Kwa upendo kabisa naomba kuwashauri wazazi wenzangu, ni vyema kuwa na maono ya mbali kuhusa safari ya maisha ya vijana wetu,kama kijana amefaulu form six au form four ni vyema aende VETA akapate ujuzi utakaomfanya Aishi kuliko kutafuta Sifa kwamba Nina Degree isiyo na faida, Huku umepoteza rasilimali mda na fedha.
Washaurini vijana wenu waone mifano halisi kwa vijana walioko mtaani na wengine bodaboda, mwambie Ili baadae asije kulaumu mtu. Ni maoni yangu.
Ingawa wamechelewa, ila bado VETA ni sehemu sahihi zaidi kwao.Habr wanjf.
Kwa upendo kabisa naomba kuwashauri wazazi wenzangu, ni vyema kuwa na maono ya mbali kuhusa safari ya maisha ya vijana wetu,kama kijana amefaulu form six au form four ni vyema aende VETA akapate ujuzi utakaomfanya Aishi kuliko kutafuta Sifa kwamba Nina Degree isiyo na faida, Huku umepoteza rasilimali mda na fedha.
Washaurini vijana wenu waone mifano halisi kwa vijana walioko mtaani na wengine bodaboda, mwambie Ili baadae asije kulaumu mtu. Ni maoni yangu.
VETA ni nafuu mara nyingi sana kwasababu kijana akipata kamtaji anaweza hata kujiajiri...Graduate wa darasa sio Graduate wa Maisha...
Hata huko pia Mambo ni yake Yale siku hizi hakuna pakukimbilia Cha msing kwenye kutoboa lazma ujitoe ufahamu kwanza
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vijana tumewashauri hawataki.
Wazazi wanataka sifa
Na watoto wanataka sifa.
Kwahiyo ngoja maisha yawanyooshe.
Kama maskini kwenye form chaguo namba 1 linapaswa kuwa middle college hizi technical college unasoma miaka 3 kwa ufadhili wa serikali. Ukimaliza ajira 85% na mshahara mzuri.
Kijana anakwenda kusoma degree of literature, mara philosophy, mara ualimu kama tahira hivi.
Tena aliyepata div 1 au 2 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Form 6 halafu aende veta Acha dharau basi
Au wa PCM asiende COET, aende VETA huu ni uchawi uliovuka kiwangoYaan mtu kapiga PCB kapiga one yake ya 3 mpk ya 5 hapo aende veta tena jmn asiwe dr
Kula hela ya mkopo ndio. Ukijumlisha na ugali wa bure waliokula form six wanakuwa wamefidia.Waache tu waende wakakue na pia kuifaidi hela ya serikali. Ila una hoja ya msingi, hata kama kuna baadhi ya vichwa panzi wataamua kukukejeli.
Ila kusema ule ukweli, elimu ya chuo kikuu kwa sass inawanufaisha wahitimu wachace tu. Wengi wanataabika mtaani, na wamekata tamaa.
KabisaKula hrla ya mkopo dio. Ikijumlisha na ugali wa bure waliokula form six wanakuwa wamefidia.