Vijana mliopo A-level: Technique rahisi nilizotumia kupiga Division One ya 3 form six bila kukesha darasani

Safi hii binafsi nami silikuwahi soma kwa ratiba.
 
Naona madogo wa advance walichukua ushauri wako, maana siku hizi form six one za 3 madogo wanajipigia tu.
 
Aaaah we jamaa unatoa ushauri mzuri sana asante mkuu 🤣
 
Hata mm nimewahi kutana na watu wa hivyo ila sio wa point 3 wao waliishia 6,7 huko kind of avg 😕
 
Safi sana .lakini kwa dunia ya sasa mpira ni magoli .uku mtaan soma sanaa pia kuna ambao hawajasoma mwisho wa siku tunakutana wote tumepaki ndinga kali tukila mvinyo
 
Dah huu uzi nimeufatilia hadi mwisho, nimecheka sana hadi nimeleta kero. Eti Mungu huyu jamani....hahahahaa
Ndo ivo an dah sema nn vijana tunaosepq advance 2kafight sana mambo sio easy af wadau nauliza me cja soma pre 4m 5 veep niko hatrn kuto kufaulu au ntafaulu wadau
 
Naona madogo wa advance walichukua ushauri wako, maana siku hizi form six one za 3 madogo wanajipigia tu
Me kuna vitu automatically hata kama nisingeona huu ushauri vipo constant, huwezi kuwa na ratiba advance!! Utapoteana, hata ukitengeneza ratiba ww mwenyew utajikuta hauifati, nimemaliza mwaka huu pcb, ushauri niliupitiaga kipindi nipo shule, ingawa sijapiga one ya tatu Ila ninauhakika wa kwenda MD chuo chochote Cha afya tz

Me kuna vitu automatically hata kama nisingeona huu ushauri vipo constant, huwezi kuwa na ratiba advance!! Utapoteana, hata ukitengeneza ratiba ww mwenyew utajikuta hauifati, nimemaliza mwaka huu pcb, ushauri niliupitiaga kipindi nipo shule, ingawa sijapiga one ya tatu Ila ninauhakika wa kwenda MD chuo chochote Cha afya tz
 
Ndo ivo an dah sema nn vijana tunaosepq advance 2kafight sana mambo sio easy af wadau nauliza me cja soma pre 4m 5 veep niko hatrn kuto kufaulu au ntafaulu wadau
mimi sikusoma pre form5, Ila inabidi ukale msuli msuli kweli, tuition nenda topic za form6 zote, kwa ally abdallah, utawanyoosha wenzako mpk necta na hukusoma pre form5
 
Ndo ivo an dah sema nn vijana tunaosepq advance 2kafight sana mambo sio easy af wadau nauliza me cja soma pre 4m 5 veep niko hatrn kuto kufaulu au ntafaulu wadau
Changua Masomo (Combination) ambayo unahisi unaweza Usiangalie Performance ya matokeo Yako ukiwa unachagua itakusaidia hata km utaamua kucheza huko Advanced. Mfano hizi Combination Mwanafunzi unatakiwa ujiweke Malengo ukiwa bado upo Form 2 au 3 itakusaidia sn so ukifika Kidato cha 4 ukimaliza zipe kipaumbele zile Combination ulizozichagua kabla ujafika Form 4

Mi naamini uwezo wa Mtu upo kichwani kwake Binafsi ni Either asome au asisome km Kichwa Chako kipo vzr utatoka tu. Mfano Mi Binafsi kuna muda uwaga najutia Upuuzi(Story ndefu) nilioufanya wakati na soma lkn kwa kuwa nilifika Mwisho (Primary to University) Bila kurudia tena Kwa kusoma vitu nilivyovipenda (Km nilivyoandika huko Juu Malengo niliweka nikiwa Form 2 kuhusu nitasoma ni Advance na Nitasoma nini Chuo) uwaga naona ni sawa Japo nilifaulu Kwa Average Marks.
So nenda kasome Comb unayoiweza itakusaidia sn hzo Pre Form 5 sio lzm upite
 
Hongera

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmh
 
Wejamaa ufahamu tumetofautiana... Usipo soma kwa kukomaa yaan PCM zero is coming soon!
Katika maisha ya shule nimekutana na watu hawasomi Ila wanafaulu na hatakusoma kwao hashiki peni na karatasi Ila anafungua kitabu na kysoma kama gazeti ndo imetoka na hamtapita kwenye matokeo!

Mshukuru Mungu kwa uelewa ulio nao wa hali ya juu ulionao!
Nb: Mungu amrehemu Elias Kihombo one othe best student ambae niliowahi kuwaona tangu yupo primary ni mtu wa kufukuzwa mashule but yupo std 5 anawaelekeza hesabu darasa la saba! Nyieeee
 
Aisee hili ndio tatizo la taifa letu...tusahau kiwa dona kantriiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…