Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 649
- 975
Weka ramani au idea za kutoka Ndugu.
hata chuo sijafika.. ila maisha nayoishi ni wachache sana wameyafikia.. mimi hata a level sijasoma.. niliishia o level tu then college ya kizushi kisha nikazama mtaani.. karibu sana tupambane kitaa.. huku hakuhitaji A za physics bali ni kujua kuusoma mtaam