Vijana mliopo A-level: Technique rahisi nilizotumia kupiga Division One ya 3 form six bila kukesha darasani

Weka ramani au idea za kutoka Ndugu.
 
KWA FRESHERS ( FIRST YEAR) NA CONTINUOS........, KARIBUNI......,MJIPATIE ......,VYUMBA VILIVYO......,. KARIBU NA VYUO VYA MIKOA YA KILIMANJARO-MOSHI...NA...ARUSHA---.....WASILIANA ........NAMI...
..
#MOCU,#KCMC,#MWENGE,#MWEKA.......#IAA,#TENGERU.,#NELSON_MANDELA
..
..0672701329.......
 
TA harafu unaenda kusoma Udsm ,ungenishawishi kama ungekuwa Harvard au vyuo vikubwa vya Dunia harafu ungetu inspire kutuletea project gani umefanya kwa mfano NALa
Other wise mm nimepata mambo mawili
1:Kusoma kulingana na mahitaji
2:Muda mzuri wa kusoma ni mchana
 
Kabisa yani maana tulitegemea anatuletea projects kubwa kama alizo Fanya Ferdinand yule NAla
 
Bonge moja la ushauri... Wengi wanakuponda huku wanautumia ushauri wako kwa namna moja ama nyingine...

Unajua mtoa uzi anaweza kuwa na changamoto zake binafsi za kimaisha lakini haiondoi uhalisia wake kuwa alikuwa ni kichwa darasani. Kikubwa chukua ushauri wake pita hivi mengine muachie mwenyewe.

Wabongo tuache unafiki. Mnajifanya kumponda wakati kutwa kucha mnagombana na watoto wenu kwavile wanafeli darasani. Mwanao akiwa na akili utamponda? Vp akiwa kilaza wa darasa, utamsifia?

Km kusoma na ukafaulu sio solution mbona mnafurahi sana watoto wenu wakija na matokeo mazuri?

Kuna factors nyingi sana za mtu kufaulu ama kufeli kimaisha licha ya elimu yake. Lakini kamwe hamuwezi kuwa sawa kiupeo
 
Elimu ya bongo ushuzi sana. Jamaa ana AAA lakini Kuna Uzi wake humu anaomba msaada wa kupewa mkopo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…