Vijana mnakuwa wa hovyo kiasi hiki?Kuhongwa macho matatu na mwanaume mwenzenu ndio mtukane mama zenu na baba zenu?

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Ni mambo ya kusikitisha sana ukisikia Vijana wameajiriwa ili watumike kwenye mambo ya kihuni ili tu mabosi wao wapate raha.
Vijana hawa wemefikia kulewa mapenzi hasa baada ya kuhongwa simu macho matatu na kuanza kuwaita wazazi wao maandazi.

Hivi hamna familia mtokako kiasi mnajiuza wazi wazi kwa mabosi wenu?
 
Kunywa maji taratibu. Okay, aya vuta pumzi moja nzito. Hapo sawa eeh.

Aya tuelezee vizuri sasa. Kimetokea nini? Wote hatupo hapo ulipo.
 
Vijana nawashauri ktk harakat zenu za kupambana na wanaume wenzako usithubutu kumtumia Mkeo au Mama yako kama kinga... Utafedheheshwa wewe na huyo mama yako au mkeo... Ktk maisha usitafute jamii ikuonee huruma kwa kumtumia mama au mke kama kinga...
By the way wanaume marijali ukimleta mama yako au mkeo mbele ktk mapambano wanakuacha wewe wanamvua chupi uliyemleta mbele,
 
ukikaidi utapigwa2 naona umegonga like kwenye hii comment

That means unasapoti haya maneno hususani hizo lines mbili za mwisho.
 
Kinachowauma Simba ni hiki.
 

Attachments

  • FB_IMG_1685678819686.jpg
    33.8 KB · Views: 1
Unamzungumzia Fei toto au ally komwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…