wastani kwa idadi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 503
- 1,432
Nyumba ya familia umeiweka bondi upewe mkopo lakini ukiangalia biashara upepo umebadilika yani hutoboi kwenye marejesho, hizo stress hata unywe pombe hazituliziki
Ndugu wanaona una pesa duka limenawiri bila kujali ni mkopo, Ni kama vile inaanzishwa ligi ya kukutupia matatizo yao halafu ukikataa unaonekana unajitenga, kichwa kinawaka moto brother
Hujamaliza marejesho, wafanyakazi wanaanza kudai mishahara yao, umewapiga kalenda miezi mitatu.
Simu baada ya lisaa ina ring, benki wanataka pesa zao, waweza zima simu siku nzima