wastani kwa idadi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 503
- 1,432
Kila mtu kuna sehemu anaumizwa kwa nafasi yake so wewe unaumizwa na mikopo lakini kuna wengine wanaumizwa na mapenziNyumba ya familia imewekwa bondi ukiangalia biashara unaona hutoboi kwenye marejesho, hizo stress hata unywe pombe hazituliziki
Ndugu wanaona una pesa duka limenawiri bila kujali ni mkopo, shida utaanza kuzisikia bibi tumpeleke india atibiwe, kichwa kinawaka moto
Hujamaliza marejesho, wafanyakazi wanaanza kudai mishahara yao, umewapiga kalenda miezi mitatu/
Nawaoneaga huruma sana hawa wamama wanaokopa ili kuwazawadia wenzao kabatiAfadhali wewe mkopo umefungua biashara.
Na uswahilini kuna wamama wanachukuwa mikopo ili wafanye shughuli au akamtunze shoga yake kabati.
Hao ndio wazurinu awainamisha ata u hochoroni unajimojolea zako kimoko maisha yanaendaNawaoneaga huruma sana hawa wamama wanaokopa ili kuwazawadia wenzao kabati
Wanakuwa wepesi sana kuhongeka ili wapunguze madeni
WEWE JAMAA DAHHao ndio wazurinu awainamisha ata u hochoroni unajimojolea zako kimoko maisha yanaenda
HahahaNyumba ya familia umeiweka bondi upewe mkopo lakini ukiangalia biashara upepo umebadilika yani hutoboi kwenye marejesho, hizo stress hata unywe pombe hazituliziki
Ndugu wanaona una pesa duka limenawiri bila kujali ni mkopo, Ni kama vile inaanzishwa ligi ya kukutupia matatizo yao halafu ukikataa unaonekana unajitenga, kichwa kinawaka moto brother
Hujamaliza marejesho, wafanyakazi wanaanza kudai mishahara yao, umewapiga kalenda miezi mitatu.
Simu baada ya lisaa ina ring, benki wanataka pesa zao, waweza zima simu siku nzima
Mie nape da sana wanawake waki kukopa kwangu...sina baya mieWEWE JAMAA DAH
Hii ishakuwa noma sanaAfadhali wewe mkopo umefungua biashara.
Na uswahilini kuna wamama wanachukuwa mikopo ili wafanye shughuli au akamtunze shoga yake kabati.
Hahahahaaa😄😄Ukiwa na madeni hata demu apite uchi mbele yako huoni yan unaona ni kivuli tu kinakatiza