Vijana mnapopata nafasi za kiuongozi kaeni mbali na rushwa na Ufisadi, Kuna siku majina yenu yatajadiliwa kama ilivyo leo kwa Kafulila

Naona KAFULILA TUMBILI umekuja na ID nyingine, nilitaka kushangaa TUMBILI WEWE usije kwenye Uzi huu.


Hivi Huwa mnalipwa shilingi ngapi kumjenga huyu jamaa???

Tatizo uraia wako/wake.
Lakini pia tamaaa zake.

Endeleeni kujitoa UFAHAMU kutwanga pilipili...
Kweli UJINGA NI MZIGO.
 
Wewe nawe tumekuchoka kazi kuparamia Kila mtu humu kuwa ni Kafulila,

We are tired of you guy.
 
Nimekataa kujadili udaku nitajadili Uzalendo wa vijana wetu.

Maandiko yangu haya ni funzo kubwa kwa vijana wa Leo na kesho
 
Wewe nawe tumekuchoka kazi kuparamia Kila mtu humu kuwa ni Kafulila,

We are tired of you guy.
Tuambie kwanini kila siku unaleta mada ya TUMBILI,??? Hiyo tu inatosha.

Kila siku TUMBILI,TUMBILI,TUMBILI,TUMBILI, TUMBILI, TUMBILI,TUMBILI, TUMBILI,TUMBILI, ....Siku akitoka kunya mtaandika TUMBILI katoka kunya....


Inachosha, mwambieni project yake imefeli KABISA.

TUMBILI ni muongo sana....


Eti mwendo kasi kununua mabasi mapya, msajiri wa hazina,, ".. serikali kukopa pesa NMB kwa ajili ya kununua mabasi mapya"
TUMBILI ni mropokaji,DOMOKAYA😅🤣😅🤣
 
Huyu mrundi anajitahidi kujipost sana, jinga kabisa
 
Mkuu unavyojinadi kuwa na mapesa mengi, wewe levels na kukashifu wengine.... Labda tu tukuulize chanzo cha hayo mapesa mengi na utajiri ni kwa kazi hiyohiyo tu ya kubahatika kuajiriwa kutumikia wananchi au na upigaji unaingiamo emo?! Maana kwa mshahara tu na posho huwezi kuwa tajiri.

Angalizo:- Sio kwa ubaya lakini, usije kuniwakia bure... Maana huku afrika inajulikana

"Ukitaka kuwa tajiri, ingia kwenye siasa na ubahatike kupata nyadhifa kubwakubwa...au kupata nafasi zile sehemu/ofisi nyeti Basi ushaula"
 
Hao TISS mbona hawawaadabishi watu wa namna hii sasa mkuu?
 
Haya ni maswala personal... Hapa kama unamdhalilisha hivi mheshimiwa David Kafulila.

Angalia na upime vya kuzungumza kwenye hadhira ndugu Shotocan
 
Je unajua kwanini anaitwa Tumbili?
 
Hivi ni kwanini Kafulila aliachwa na mkewe Jesca?
 
Ni ngumu sana ktk hiki chama kutenganisha RUSHWA na chama hicho,
ccm na rushwa ni sawa "LILA na FILA" mliososoma riwaya hizi mmelewa!
 
Jamaa anapigiwa promo sijui mnataka nani amuone nabkwa manufaa ya nini?
 
Hajajaribiwa kukaa kitengo chenye hela kwa hiyo hatujui uadilifu wake, lakini Kuna wakazi wa simiyu alipokuwa mkuu wa mkoa wanashuhudia kwamba alikuwa anakula

Anatumiwa kula rushwa za stakabadhi ghara in na mazao ya kilimo

Kpia wewe chawa wa kafulila nenda kwanza kamuulize Dr slaa na mbatia juu ya tabia ya kafulila ya kupenda kupindua uongozi anaoukutaanapokaribishwa
 
Kama anapenda kupindua Mbona hakuwapindua Mbatia na huyo Slaa? Mpaka Selasini alipofanya yake?

Story ya Mbatia na Kafulila inajulikana nchi nzima na chanzo ni Kafulila kugoma kuhongwa na watu wa Escrow ndio wakamfuata Mbatia.

CHADEMA Kafulila alimshinda Heche Uenyekiti Taifa Mbowe akaagiza matokeo yafutwe ivo tu 😂😂

Kafulila ni Mpango wa Mungu mwenyewe tangu enzi na enzi hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…