Vijana mnapopata nafasi za kiuongozi kaeni mbali na rushwa na Ufisadi, Kuna siku majina yenu yatajadiliwa kama ilivyo leo kwa Kafulila

Mbona kama wasukuma wenzako wanaakili wewe tatizo lako nini?
 
Wewe ni chawa tu.
 
Unahangaika sana kumzuia Kafulila I'll la tambua yule jamaa ni mpango kamili wa Mungu
 

Story zako zinachekesha dogo

Huu muda wakumfagilia mwanaume mwenzio unaupata wapi dogo

Hii nchi imejaa mabumunda tu
 
Kafulila tukiacha chuki za kibinadamu jamaa yuko vizuri
 
Reactions: YAY
Ushauri mzuri sana huu
 
Mbona inasomeka vizuri tu hapo kataja Marais wote specifically Rais Samia
 
Amekutuma au wewe ndiye Kafulila?.
 
Dogo Mimi kiwango changu ni kujadili "issue" siyo kumsifia mtu

Simple mind discuss people
Sasa unaona mtu wa kupinga rushwa au ufisadi kujadiliwa hiyo siyo "issue"?
 
Kafulila ni mtu makini hilo halina ubishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…