Vijana msitumike kwenye siasa kwa namna yoyote ile, shuhudia hizi vurugu

Prakatatumba abaabaabaa

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2022
Posts
2,317
Reaction score
7,808
Ninaumia kuona vijana wangu wakitwangana makonde kisa siasa, nikifikiria kwa upana zaidi ninaona chanzo cha yote ni umaskini,

Hivi lengo la kwenda kwenye mkutano wa chama kingine na kuleta fujo, na kushikiana mapanga wanabenefit nini?, sawa umaskini ndio umewafanya wawe hapo, sasa uyo jamaa aliyepigwa ngumi ataenda kujitibia kwa shingapi?

Ni dhahiri ya kwamba watawala hawataki kuondoka hapo, kwa njia yoyote ile, mashekhe wamesema, wachungaji, mapadre n.k kwa mtazamo wangu kadri siku zinavyoenda hali itakua mbaya zaidi kwanini?..

CCM wanauwezo wa kushinda kura 99% uchaguzi mkuu no doubt, ninachokiona kwa chadema ni kelele zao, kama chama kilishajihakikishia ushindi maana chadema walishajitoa zamani, nadhani wawaache chadema waendelee na kelele zao, na Oktoba watapita bila kuwa na shida yoyote ata kidogo,

Ila hizi vurugu n.k nikusababisha watu waendelee kua na chuki, juzi nimeona Dodoma watu wanaimba barabarani,...

CCM wapo na mbinu nyingi kama waliweza kumshinda Lowasa na nguvu alizokuwa nazo, sembuse hawa? Nadhani wangekaa kimya wasirespond chochote juu ya mambo ya CHADEMA.
 
Kadri unavyomshika paka mkia ndio kadri unavyompandisha hasira.

Maji huwa ni ya baridi ikiwa bado hayajakumwagikia ila yakikumwagikia unayazoea na unayaona ya kawaida tu.

Hatua zinapaswa kuchukulia kwa maana joto la mwaka huu limekua kubwa kuliko miaka yote iliyopita.
 
Nadhani wao ndio wefanya liwe kubwa. Na sura ya lissu ingekuwepo kwenye karatasi ya kura sijui tu.
 
Ninaumia kuona vijana wangu wakitwangana makonde kisa siasa, nikifikiria kwa upana zaidi ninaona chanzo cha yote ni umaskini,

View attachment 3363226
Hivi lengo la kwenda kwenye mkutano wa chama kingine na kuleta fujo, na kushikiana mapanga wanabenefit nini?, sawa umaskini ndio umewafanya wawe hapo, sasa uyo jamaa aliyepigwa ngumi ataenda kujitibia kwa shingapi?

Ni dhahiri ya kwamba watawala hawataki kuondoka hapo, kwa njia yoyote ile, mashekhe wamesema, wachungaji, mapadre n.k kwa mtazamo wangu kadri siku zinavyoenda hali itakua mbaya zaidi kwanini?..

CCM wanauwezo wa kushinda kura 99% uchaguzi mkuu no doubt, ninachokiona kwa chadema ni kelele zao, kama chama kilishajihakikishia ushindi maana chadema walishajitoa zamani, nadhani wawaache chadema waendelee na kelele zao, na Oktoba watapita bila kuwa na shida yoyote ata kidogo,

Ila hizi vurugu n.k nikusababisha watu waendelee kua na chuki, juzi nimeona Dodoma watu wanaimba barabarani,...

CCM wapo na mbinu nyingi kama waliweza kumshinda Lowasa na nguvu alizokuwa nazo, sembuse hawa? Nadhani wangekaa kimya wasirespond chochote juu ya mambo ya CHADEMA.
Kukosoa Hekima tuu!
 
ANAANDIKA Boniface Jacob almaarufu kama Boniyai mwenyekiti CHADEMA Kanda ya Pwani.

Kijana mmoja aliyedhibitiwa na Wananchi Kwa Kipigo baada ya Kujaribu kufanya vurugu katika mkutano wa CHADEMA uliokuwa unaenda Kuhutubiwa na Makamu Mwenyekiti @HecheJohn

Ameomba msamaha Wananchi wakati wa mahojiano kwa kueleza Kwamba;

Mkuu wa Wilaya ya Igunga aliwaita Vijana waliomaliza JKT na kukosa kazi waende Kufanya Vurugu katika mikutano ya CHADEMA kwa ahadi ya Kupatiwa ajira Jeshini au Polisi endapo watafanikiwa kujeruhi,Kuharibu mali na Kuvuruga mkutano wa CHADEMA.

Pia walihaidiwa ulinzi wa Jeshi la Polisi endapo watazidiwa nguvu,lakini wameshangaa Polisi hawakutokea wakati wanapigika na kupokea Kichapo kutoka kwa Wananchi wenye hasira kali.
 
Shetani mchonganishi!
 
Ina
Ninaumia kuona vijana wangu wakitwangana makonde kisa siasa, nikifikiria kwa upana zaidi ninaona chanzo cha yote ni umaskini,

View attachment 3363226
Hivi lengo la kwenda kwenye mkutano wa chama kingine na kuleta fujo, na kushikiana mapanga wanabenefit nini?, sawa umaskini ndio umewafanya wawe hapo, sasa uyo jamaa aliyepigwa ngumi ataenda kujitibia kwa shingapi?

Ni dhahiri ya kwamba watawala hawataki kuondoka hapo, kwa njia yoyote ile, mashekhe wamesema, wachungaji, mapadre n.k kwa mtazamo wangu kadri siku zinavyoenda hali itakua mbaya zaidi kwanini?..

CCM wanauwezo wa kushinda kura 99% uchaguzi mkuu no doubt, ninachokiona kwa chadema ni kelele zao, kama chama kilishajihakikishia ushindi maana chadema walishajitoa zamani, nadhani wawaache chadema waendelee na kelele zao, na Oktoba watapita bila kuwa na shida yoyote ata kidogo,

Ila hizi vurugu n.k nikusababisha watu waendelee kua na chuki, juzi nimeona Dodoma watu wanaimba barabarani,...

CCM wapo na mbinu nyingi kama waliweza kumshinda Lowasa na nguvu alizokuwa nazo, sembuse hawa? Nadhani wangekaa kimya wasirespond chochote juu ya mambo ya CHADEMA.
inaitwa right uppercut
 
Back
Top Bottom