Vijana na mapinduzi EAT

Vijana na mapinduzi EAT

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
VIJANA NA MAPINDUZI YA ZANZIBAR MOHAMED SAID NA BELINDA SEMTANDI EATV

EATV wamenihoji vipi vijana wahamasike katika kuyaenzi mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964.

Nimewashauri vijana kwanza waielewe historia ya mapinduzi na nimewaelekeza wasome kitabu cha Dr. Harith Ghassany, "Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru," (2010).

Nimezungumza kuhusu vijana kusimamia haki na kupiga vita ubaguzi wa aina yeyote.

Kipindi hiki kitarushwa siku ya kumbukumbu ya mapinduzi tarehe 12 Januari saa mbili kasorobo usiku.
20210106_141836.jpg
Screenshot_20210106-175540.jpg
 
VIJANA NA MAPINDUZI YA ZANZIBAR MOHAMED SAID NA BELINDA SEMTANDI EATV

EATV wamenihoji vipi vijana wahamasike katika kuyaenzi mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964.

Nimewashauri vijana kwanza waielewe historia ya mapinduzi na nimewaelekeza wasome kitabu cha Dr. Harith Ghassany, "Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru," (2010).

Nimezungumza kuhusu vijana kusimamia haki na kupiga vita ubaguzi wa aina yeyote.

Kipindi hiki kitarushwa siku ya kumbukumbu ya mapinduzi tarehe 12 Januari saa mbili kasorobo usiku.View attachment 1670323View attachment 1670324
Softy copy??
 
Back
Top Bottom