Vijana na mitaji; Nyie mnatafutaje hiyo mitaji?

jeff mahugi

Member
Joined
Jul 15, 2021
Posts
7
Reaction score
17
Jambo jambo waungwana. tunaanza ni siku ya tatu inafika sina hela mfukoni kila ninaye mtangazia shida yangu naye ananipa yake kichwa kinaniuma nifanye nini na kuiba ni kitu ambacho sikitaki. aisee mimi kama kijana mpaka sasa nimeshafanya kazi kama muajiriwa katika taasisi fulani maisha yalikuwa kiasi chake si mabaya napata pesa ya matumiz na kidogo na i bless famili siku zikasogea mzee kitumbua kikaingia mchanga kibarua kikaota nyasi.

Mzee nikajipa moyo nitatoboa tu nikakutana na tajiri nikamueleza hali yangu akaniambia usijali twenzetu tukalime kwa kua yeye ni mkulima kama kijana mpenda maendeleo nikakubaliana na tajiri kuwa nitaungana naye kulima na akaniambia kitakacho patikana tutagawana maisha yakasogea nikaanza kupata mia miambili huku nikiwa na matumaini ya kuwa nijichange change nipate pesa ya mtaji nianzishe biashara yangu.

Baada ya miezi kupita upepo wa kisuli suli ukaanza kunipulizia mambo yakaanza kubadilika kama utani mara wadudu wakavamia shamba la ekari kumi amini usiamini mazao yaliharibika vibaya sana mimi na boss tukapata hasara kubwa ukifikiria nguvu kubwa iliyo wekwa pale na namna wadudu wanavyo haribu mimiea ni hatari. Tajiri aliamua kuita wataalamu wa kilimo mixa kupiga madawa kedekede lakini wapi mpaka ekari kumi zote zikateketea.

Mimi na boss hatukukata tamaa tukaanza upya kwa mara nyingine wakati huu mi nilianza kutumia zile mia mia mbili nilizo kuwa naziweka kwa kua kipindi hki hatuendi tena sokoni maisha yakaendelea wakati maisha yanaendelea vipesa vyangu vikaanza kupukutika kama utani. mara huyu kanitangazia shida mara kubless famili pesa ikaanza kuyeyuka. Nikaanza kufikiri nifanye kabiashara kadogo kasaizi tu nikafuatilia kila kitu kuanzia bei ya jumla bei ya kuuzia na gharama zote na faida nitakayoingiza nikatafuta na wateja kabisa ili nikianza kazi iwe utelezi nisipate tabu.

Wakati mi napanga hilo na Mungu kapanga yake kwanza nikasema sina mtaji napataje mtaji nikampigia simu baba yangu nakumueleza mpango ulivyo akaniambia nimsubiri kiogo mambo yake yakikaa sawa atanisaidia pia nikamueleza boss wangu mpango wangu naye akaniambia kama alivo sema mzee wangu nikajipa matumaini lakini sasa siku zika sogea lkn wale nilio wategemea nao mambo yao hayajakaa sawa.

Nikabadili gia angani walau niombe mkopo ili niendeshe biashara yangu lakini hapo kwenye mkopo nikashindwa kuupata shauri ya kukosa mdhamini. Sikuishia hapo nikapata wazo la kupata hela ya halmashauri mpango wa vijana na wanawake nikafuatilia mpaka hatua ya mwisho ikabaki utekelezaji katika utekelezaji ikabidi tuunde kikundi ambacho tutakisajili ili tupate hizo hela nikajaribu ku organize wenzangu fresh tu kwa kua tupo mbali mbali tukapendekeza tuunde grup la whatsap kama sehem ya mkutano yetu lkn wapi simu janja yangu ikaharibika na mfukoni sina hela ya kutengenezea ikabidi ni joini kwenye kikosi cha zege. Huku napiga piga nashkuru mungu. Nyie mnatafutaje mitaji ya biashara. Naomba kuwasilisha.

Itaendelea...
 
Hivyo unavyofanya ndo wote hufanya. Kazi inayokuwepo wakati huo fanya. Me niliishiwa kabisa, hiyo siku nakumbuka nilipanga kesho nimchane mwenye nyumba kuwa kodi ikiisha nasepa maana nilimpa ya miezi mitatu na kawaida ni miezi 6.

Asee usiku nikatest mitambo betpawa, majibu yakaja fresh. Nilitupia sh. 50 nikacheza live, duuh, nikapata 330k.

Kuanzia hapo nikawa naweka, nakula natupia benki. Saiv angalau maisha yanaenda kwa pesa ya kubetia.

NB: Usije jaribu huu mchezo kama hujawahi
 
alaa kumbe tupe trick hizo za betpawa

Back
Top Bottom