Vijana na Watafutaji Tuna la kujifunza kupitia Dalas

Vijana na Watafutaji Tuna la kujifunza kupitia Dalas

Jamaa katumia nguvu kubwa sana kumpata mbebez, alafu hajabandua
 
Yaani hii habari sijui imekaaje mana haituambii kama hivo vitu kama bado anavyo huyo demu au jamaa alivichukua na hapo kwenye KUACHIA PAPUCHI HAPAJAKAA VIZURI.ila yote kwa yote hata ningekuwa billionea bado siwezi kuwekeza kwenye papuchi kiasi hicho.
 
Wacha kwanza tutanue yakitushinda tutajifunza kuwa huu ni mji wa wakina lowasa na baresa hata wakionga ndege hawafiliski wewe unayeonga ka harrier miguu juu.
 
Back
Top Bottom