Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Kama wewe mkweli push notifications hizo😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama wewe mkweli push notifications hizo😅
Hiyo ni mbinu ya kikesh, Ila wewe nakushauri tu kana katakata usikubal kosa bora hata umsingizie mshikaji, ukithibitisha tu basi jiandae kulipa.Watu wanambinu balaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Siwez kubali kosa hata siku moja , yaani nimegoma kabisaaa japo kanuna mpaka sasa siongeleshwi [emoji24][emoji24]Hiyo ni mbinu ya kikesh, Ila wewe nakushauri tu kana katakata usikubal kosa bora hata umsingizie mshikaji, ukithibitisha tu basi jiandae kulipa.
Mbembeleze tu ujishushe kidogo afu umpelekee [emoji91] atakusameh hawanaga shida hawa wenzetu.Siwez kubali kosa hata siku moja , yaani nimegoma kabisaaa japo kanuna mpaka sasa siongeleshwi [emoji24][emoji24]
kivipi yaani??? you're careless man??Kama maada inavyojieleza hapo juu, wanaume wenzangu msipende kujibu sms iliyo tumwa juu ya screen.
Ni bora uifungue na kuijibu ila sio juu ya screen [emoji24][emoji24][emoji24], sina hamu mke katuma sms na mchepuko katuma sms papo hapo nikajibu kwa mchepuko nikikumbushia tulivyo enjoy guest kumbe inaenda kwa wife [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
😂 SawaKama wewe mkweli push notifications hizo😅
Hayo mambo ya kufichaficha hizo notifications ndo yanafanya tuseme NDOA NI UTAPELI 🤔😂 Sawa
Wala hata mie sijaficha kwa sababu ya mpenzi wangu, yeye hata akiitaka simu yangu nampa vzuri tu. Kuna mazingira huwa nakutana nayo mara nyingi watu kupekua simu yangu huwa sipendi ndio sababu nikaweka hivyo.Hayo mambo ya kufichaficha hizo notifications ndo yanafanya tuseme NDOA NI UTAPELI 🤔
Ilinikuta hii nilikua nachat na wawili mmoja naempenda na dem fulan anaeshobokaga.Kama maada inavyojieleza hapo juu, wanaume wenzangu msipende kujibu sms iliyo tumwa juu ya screen.
Ni bora uifungue na kuijibu ila sio juu ya screen [emoji24][emoji24][emoji24], sina hamu mke katuma sms na mchepuko katuma sms papo hapo nikajibu kwa mchepuko nikikumbushia tulivyo enjoy guest kumbe inaenda kwa wife [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Hapana hapo mbona kawaida tu, mimi najijua kabisa ni msaliti sugu kwahyo kama nipo pamoja nayeye huwa naweka notifications off kwenye whasap na sms za kawaida na kuwa na amani kabisa maana ukiwa unaficha ficha atapata mashaka.iyo kitu ogopa sana mm nashkr ilinitokea kipind sijaoa nlipigwa chini mazima coz nlkua mtu wa matukio sana..nyingine usipende kumuonyesha vitu kwenye simu mkeo kunakuaga na tumesej twa wasap kitatumwa mida hio
Kesi ndogo hiyoKama maada inavyojieleza hapo juu, wanaume wenzangu msipende kujibu sms iliyo tumwa juu ya screen.
Ni bora uifungue na kuijibu ila sio juu ya screen [emoji24][emoji24][emoji24], sina hamu mke katuma sms na mchepuko katuma sms papo hapo nikajibu kwa mchepuko nikikumbushia tulivyo enjoy guest kumbe inaenda kwa wife [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Pole sanaKama maada inavyojieleza hapo juu, wanaume wenzangu msipende kujibu sms iliyo tumwa juu ya screen.
Ni bora uifungue na kuijibu ila sio juu ya screen [emoji24][emoji24][emoji24], sina hamu mke katuma sms na mchepuko katuma sms papo hapo nikajibu kwa mchepuko nikikumbushia tulivyo enjoy guest kumbe inaenda kwa wife [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Mm mwenyewe nilikuwa naperuzi jf mkuu [emoji1787]Ilinikuta hii nilikua nachat na wawili mmoja naempenda na dem fulan anaeshobokaga.
Nlikua naperuzi JF huku nachat nao ila akili yangu haikuwa kwao ilikua ktk uzi fulan humu. nilikua nachart tu wasione nawadharau kwahyo nilikua na reply tu hapo hapo juu ya screen huku naendelea kusoma humu.
Sms nilikua namtumia mchepuko "nimemiss kulala na ww" bahati mbaya nika reply kwa ninaempenda[emoji23] alfu alikua kaniuliza mambo mengine ya msingi nikajibu hivo.. nikabidi nitume nyingine ili asihisi nimekosea
"jana nimekuota mpka nimemiss kulala na ww" .
Nilikoma kuchart hivo na pia niliacha kabisa kuchart na wanawake wawili kwa wakati mmoja